Dena Amsi jamani.....yaani!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa ukubwa wake.
Mke wangu rudi nyumbani watoto wanakumiss sana hasa nyumbu na Zebra! Hawaachi kulia kila saa! Naambie la azizi wangu utarudi lini nikuandalie mapochopocho na nitawaalika sharubu na nguchiro.
Wasalaaaaaaaam
 
mnaanza kutuboa sisi wengine...
seriously....
huwezi mtafuta pm huko??????????
 
Kwani kaenda wp huyo wife wako?
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa ukubwa wake.
Mke wangu rudi nyumbani watoto wanakumiss sana hasa nyumbu na Zebra! Hawaachi kulia kila saa! Naambie la azizi wangu utarudi lini nikuandalie mapochopocho na nitawaalika sharubu na nguchiro.
Wasalaaaaaaaam
 
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa ukubwa wake.
Mke wangu rudi nyumbani watoto wanakumiss sana hasa nyumbu na Zebra! Hawaachi kulia kila saa! Naambie la azizi wangu utarudi lini nikuandalie mapochopocho na nitawaalika sharubu na nguchiro.
Wasalaaaaaaaam

Im back Baby...................
 
hivi kila mwenye mpenzi wake akianzisha thread hapa itakuwaje?????????

Huwezi kumtafuta mtu peke yako shurti msaada kaka. Sorry kama nimekukwaza! Ila unaipotezea tuu kama hupendi huku. Haasira utafikiri mtoto wa katibu bana!
 
Sa kwa nn hujamwaga huyu mumeo? C unaona alvyochanganykiwa! Cku nyngne uwe unaaga mpenz, utamtia wazim mtoto wa mwanamke mwenzio!

Umeona eeeeeeeeee yaani kidogo nibebe kanga nizunguke kwenye ule mti wa mhogo pale nyuma ya nyumba nikakutana na wanangu wanacheza pale! Nilipwangalia wanetu nikasita kidogo!
 
Sa kwa nn hujamwaga huyu mumeo? C unaona alvyochanganykiwa! Cku nyngne uwe unaaga mpenz, utamtia wazim mtoto wa mwanamke mwenzio!

Kwa kusahau huyo mume wangu namjua mwenyewe nimemuaga na nauli kanipa na kanopeleka ubungo mwenyewe nashangaa eti kasahau leo.............................

Naona analake jambo tu hana lolote........................
 
Back
Top Bottom