demu yupi atanifaa eti?

dasenior

Senior Member
Jul 24, 2012
138
56
Ni kati ya mademu wawili na kila mmoja anatabia yake,na mbali na hao niliwahi kuwa nao zaidi ya hao wa3 ila kupitia mchujo wangu hiyo ndiyo top2 yangu!,...
Sifa zao ziko hivi;-
1-anadeka halafu 24h/week anataka akipiga tu akupate na umpigie muongee tu hata kama hamna la maana la kuongelea,tofauti na hapo atalia weeeh!!

2-anawivu kiasi kwamba kila ninapotaka kwenda nae awepo pembeni,ukisalimiana na mtu awe wa kike/kiume atataka aujue ukaribu wenu uko vipi na siku ukimuacha peke yake atanuna weeeh siku nzima!!!!!!?

"sijui yupi atafaa kwa vigezo hivyo eti?"
 
Achana nao hao! Anna matoto ya njiwa vipi ? Yule anaekaaga siti ya mbele mjengoni !
 
Back
Top Bottom