Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demu wangu kapata mimba kwa sasa ana wiki mbili na hahitaji kuzaa kwa sasa.

Discussion in 'JF Doctor' started by MCHUMIPESA, May 29, 2012.

 1. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa tarehe 13 ya mwezi huu hadi sasa hajapata mp yake imetokea kwa bahati mbaya,je inaweza kutoka kwa kirahisi mapema hii kabla hakijawa kiumbe kamili.Doctor ni njia gani nitumie ili kumnusuru wangu nimpendae?.NB.Kwa wale wanaopenda kujibu kwa matusi sihitaji ni bora wakaendelea na thread zingne na siyo KUNITUKANA.Pliz pliz matusi sitaki nataka USHAURI WAKO TU.ASANTENI
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,138
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  @Mchumipesa ni mapema kuthibitisha kuwa ni mjamzito. Katika bandiko lako hujaeleza kama huo ujauzito umemletea mathara yanayohatarisha maisha yake hivyo kama wewe unamwamini MUNGU na una hofu ya MUNGU ikiwezekana pamoja na kufuta roho ya mauaji kichwani mwako hata hili bandiko uliondoe
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,502
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ukipanda mahindi tegemea kuvuna mahindi japo hata mabua yapo
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,048
  Likes Received: 1,254
  Trophy Points: 280
  Morons!
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,058
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180

  Naamini na nina imani kuwa unajua na una uelewa wa madhara na matokeo ya kutoa mimba
  Sijui kama umethibitisha au umehakikisha kuwa ni mimba kweli
  Na hujasema ni kwa nini huyo dada hayuko tayari kupata mimba kwa sasa
  Ushauri wangu kama haimletei madhara ya aina yoyote na kama ana uwezo wa kuilea mimba hiyo mpaka ajifungue hata kama matarajio yako sio kuwa na mtoto kwa sasa naomba aendelee na hiyo mimba
  madhara ya kuitoa kwako ni makubwa kuliko kuiacha
  Naamini unamwamini Mungu na iwapo utakuja kumuoa huyo dada naamini hiyo dhambi haitakutoka ya kuwa mlishaua kiumbe hata kama ni kile ambacho hakijafikia kuitwa kiumbe
   
 6. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,702
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  raha ya kulima shamba na kulipanda ni upate mavuno, sasa unavuna ulicho panda! usiende kutoa mimba na wala usimshinikize kutoa mimba kwani nyie ni watu wazma mnajua jema na baya ulitakiwa kuchukua tahadhari mapema sasa subiria mavuno.

  huwezi jua mungu amewaandika watoto wangapi kama ni huyohuyo moja utafanyaje ukimtoa.....
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,502
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jaribu wakutoe makende kwanza wewe ndio ujue madhara ya kutoa mimba
   
 8. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,706
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  mama yako angekutoa hii thread isingekuwepo ,nisamehe kamanda
   
 9. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Good idea!
   
 10. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thankx bro.
   
 11. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 793
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mzee, ulishawahi kumuona bata anatetea?? Akili ya bata hupimwa na jinsi anavyoongoza watoto wake. Nawapenda watoto
   
 12. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Makamanda unajua imetokea gafla xana na economically niko hoi!,posa siwez toa kwa sasa maana nafukuzia kazi na bado cjajipanga fresh ki life na yeye ndo kamaliza chuo kikuu.Pia heshima kwao yan kwa mama mkwe itatoweka,je cha zaidi nifanyeje ili japo nifunge harusi hata ya ki magubegube ili nilipangue hili balaa zaidi ya kutoa mimba?Unajua hata mim inaniuma kumtolea mimba maana hata mie umri unakwenda sasa nifanyeje?
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  wenzenu wanatafuta watoto nyie mnawaua,
   
 14. m

  mpungara Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nimesikitishwa sana na thread yako.na si kweli kuwa unampenda huyo demu wako.kwanza elewa kuwa kutoa mimba ni uuaji.bila kujali kama hiyo mimba ni ya nusu saa,au ya wiki mbili au ya miezi tisa.huo ni uuaji.na sababu uliitoa ya kutaka kutoa hiyo mimba si ya msingi.hebu fikilia kama je wakti wa process ya kuitoa hiyo mimba ikatokea akafariki.je utasikitika?au je utafurahia?KAMA KWELI UNAMPENDA NA KAMA KWELI ITATHIBITIKA KUWA ANA MIMBA.MIMI NAKUSHAURI USIWE NA MAWAZO YA KUITOA HIYO MIMBA.bwana mambo ya siku hizi inawezekana ana yai hilo hilo moja tu na akiitoa hiyo mimba hapati tena mtoto ktk maisha yake.
   
 15. N

  Neylu JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,639
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mmmh...Ndugu yangu naomba uachane na hayo mawazo ya kutoa mimba..Jamani watu wanatafuta watoto hawawapati.. Nyie Mungu kawapa Baraka hiyo halafu mnataka kutoa mimba...! Hata kama mlikuwa hamjapangia kuzaa hilo suala la kutoa mimba kwa kweli siwashauri kabisaaa..
   
 16. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ucjali mkuu wangu twende kazi!
   
 17. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Well noted!.Thankx
   
 18. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,096
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thankx,jf ndo jibu halis,nimefarijka sana!,what iz the way foward?
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,058
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Hilo ulilofikiria ni zaidi ya haya unayoleta hapa
  Suala la kuwa heshima kwa mama mkwe itashuka kwa kuwa binti yake kapata mimba sidhani ndio likufanye ufikirie kutoa mimba
  Limekwisha tokea na mimba ipo je heshima ni muhimu kama hicho kiumbe ambacho unatarajia ukitoe
  Ndoa sio pesa mkuu kama wewe ni mkristo nenda kanisani kwako waambie aise mambo yamekuwa haya nataka mtoto wangu azaliwe kwenye ndoa sidhani kama watakuambia nenda kajiandae ufanye harusi kubwa ya gharama
  Sana sana watakuambia we njoo ujeumalize mambo yako haraka
  Nahata kama huna kazi mkuu sidhani kama hilo ni suluhisho
  Iache mimba ikue na naamini unapambana kuyaweka maisha sawa na hapo kati kati unaweza ukapata kazi
  Je ukiitoa mimba na kesho ukapata kazi utamlaumu nani mkuu
   
 20. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,792
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  buStani ikimwangiliwa vizuri lazima ikue babaaa, sa we kama haMtaki kuzaa si mgetumia kinga? kama hiyo haitoshi kuna kitanzi,vidonge vya majira,sindano njia za asili za kuzuia vyote hivyo mmeshidwa? jamani embu mwacheni zitto kabwe na spika wa baadae akue.TAFADHALI MSIMTOE aje afurahie ulimwengu wa digital na yeye.
   
Loading...