Demu wa mitandao ya kijamii

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamaa kakutana na sister du kwenye mitandao ya kijamii,yeye upo UK demu yupo dar,wamechat,kuzoeana na kuwa kama wapenzi bila kuonana na kufahamiana.Wakapanga mipango ya kuonana uso kwa uso hotelini,Jamaa akatua dar na kupokelewa uwanja wa ndege,Akamwambia dem waende hotelini,demu akasema ya nini kwenda hotel za gharama kubwa wakati kuna gest za bei ya chini,Ikabidi waende gesti,walipofika reception mhudumu alipotaja bei demu akamwambia jamaa tuachane na hii gesti kuna gesti ya bei nafuu naifahamu,wakati wapo njiani kuelekea hiyo gesti ya bei nafuu demu kaanza "tukifika usikubali kupewa chumba namba 112,kitanda chake kibovu sana,ukipewa chumba namba 214 usikubali pia feni haifanyi kazi vizuri,chumba namba 220 ni nzuri ila bafuni bomba la maji ya moto haifanyi kazi,chumba namba 510 ni nzuri uchukue ila mlango wake sometimes unagoma kufunguka.

we unadhani nini kilifwata?
 
Najua alimuuliza kama naye aliisha wahi kufanya kazi hiyo gesti kama mpokezi au fundi?
 
mimi ningemwambia haina shida maana mimi nilizoea kulala na amina lodge,ila beatrice ndo uwa natumia geto la mshkaji,lakini grace uwa namchapia kwake palepale,tofauti na yule happy maana ni mke wa mtu ivyo uwa tunaenda hotel sa nilijua na wewe ni mke wa mtu ila kwa ilo haina shida tuingie iko iko 510
 
utashangaa na yeye anakupa na list kama ya watu 300
 
Back
Top Bottom