Demu wa kuzaa nae nimpe Toyota OPA!

umeona masifa, uwezo wake wote ni kununua opa, lakini anavyojinadi utafikiri sijui nini...hawa ndo wale ukiwakuta bkb wanakwambia nimeshuka na ndege sasaivi toka dsm kumbe siku mbili alikuwa anasafiri na basi la sumri tena nauli alikopa...hahaha. masifa kibao kumbe hamna lolote. kwa taarifa yako, humu ndani wapo watu wengi wana uwezo si wa kununulia mtu opa, ila vx..lakini wamenyamaza kimya tu...we kama umeshindwa kutafuta madem sema watu wakusaidie, usihangaike kujieleza sanaa ati nataka tu kuzaa naye etc....

huwa tunasemaga kaletwa Mwanza na meli kapelekwa Dar na treni
 
I swear kwa dharau hizi kwam mama zetu Mungu hatakupa mtoto wa kike ukipa rudi hapa ntakupa zawadi ya maana kuliko hiyo opa


unategemea nini kizuri kutoka kwa dudu tena jeusi? definitely ni kila aina ya madudu na uchafu!
 
Haya mabinti bahati yenu hiyo sasa,aliyetayari pls aniwekee PM.
SIFA
Asiwe mlevi.
Awe mrembo.
Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
Awe tayari kuishi na mimi mpaka atakapopata mimba,baada ya hapo mkataba wetu utaisha na atabeba kilichochake na kuondoka ntabaki kutoa pesa ya matumizi ya mtoto kwa miaka2 kisha anikabidhi mwanangu.
Awe anajua mapenzi.
Awe mkarimu kwa ndg zangu na marafiki.
Umri kuanzia 16-35yrs.
Awe tayari kupima H.I.V.
Sina ndoto za kumuoa,mie lengo langu ni kunipatia mtoto tuu basi.
Umri wangu ni 33yrs.

Ya filauni au Musa??
 
WAKE UP DUDU JEUSI, have confindent with your self! After all every one else does! stop whinning! life is too short to complain! wife/kids/jobs and friends will not give you the sastifaction you are craving for! All that doesn't give happiness, infact they will add to your problem. Search God, But seek yee the kingdom of God and his rightouesness and this other things shall be added to you. You sound pathetic that people would keep away from you.


He is pathetic, sick and crazy..... awasiliane na dr jf for emotional evaluation
 
Haya mabinti bahati yenu hiyo sasa,aliyetayari pls aniwekee PM.
SIFA
Asiwe mlevi.
Awe mrembo.
Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
Awe tayari kuishi na mimi mpaka atakapopata mimba,baada ya hapo mkataba wetu utaisha na atabeba kilichochake na kuondoka ntabaki kutoa pesa ya matumizi ya mtoto kwa miaka2 kisha anikabidhi mwanangu.
Awe anajua mapenzi.
Awe mkarimu kwa ndg zangu na marafiki.
Umri kuanzia 16-35yrs.
Awe tayari kupima H.I.V.
Sina ndoto za kumuoa,mie lengo langu ni kunipatia mtoto tuu basi.
Umri wangu ni 33yrs.
kwa kukusaidia ngoja nimwite Asprin aje kukusaidia.najua ye atakupa hadi picha za wadada ujichagulie mwenye sifa unazozitaka.weeeee Asprin njoo huku umsaidie DUDU JEUSI anataka demu wa kuzaa naye.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom