Demu wa kuzaa nae nimpe Toyota OPA!

Hahahaa hii aina ya magari unayotaja naanza kuamini kasentensi ka Ubungoubungo kana ukweli ndani yake .haya bwana hongera kwa kumiliki benzi umenikumbusha mbali kweli wakati nikiwa mdogo baba yako akiwa na hayo magari wakati huo ni fogo wa kutisha.we jina fogo ulilikuta?
Ilikua karne ya ngapi hiyo?
 
Ulikua na miaka mingapi kipindi hicho?

Jamani mbona umeuliza sana?me sitaki kubebea mbegu.embu tuongee kitu cha maana ujue sio vizuri namna ulivyoweka tangazo lako?hata Mungu hapendi yani kama vile unamfanya mwanamke jike la mbegu.not good man
 
Ahaa!ok,now what do u like me to do?
Becouse ni njia ambayo niliona it will be easy to get what I expect!
 
Kama ni kweli una watoto 3 mwingine wa nini?na ulivyojieleza hapa sio tajiri kivile ada ya primary sa hivi milini kumi academy za kawaida milioni 2 una uwezo wa kuwapa hao watoto eelimu hiyo achilia mbali garama nyigine?
 
Halafu wakati unazaa kwa wanawake tofauti jiulize what if you die soon after the birth of the child ataishi katika mazingira gani kiumbe asiye na hatia?tatizo huwa hatuangalii future we only think of present?
 
hahaha,mtoto mtamu bana!gombea ubunge basi ili uwe waziri wao na uwatete vzr.Bye the way wanangu nawapenda sana,na kwa uwezo wa M/mungu watasoma na kuishi safi.Watoto wa3 bado sana,lengo na dhumuni ni 15-17,this is not joking mtoto mtamu,serious aise.
Anyway niwekee ur email kwenye pm then nikuonyeshe mambo yangu...
Chezea DUDU JEUSI wewe!
 
Haya wote nawatakia usiku mwema na Dudu jeusi Mungu akuangazie this night uachane na wazo lako uwalee vizuri hao ambao tayari wapo
 
hahaha,mtoto mtamu bana!gombea ubunge basi ili uwe waziri wao na uwatete vzr.Bye the way wanangu nawapenda sana,na kwa uwezo wa M/mungu watasoma na kuishi safi.Watoto wa3 bado sana,lengo na dhumuni ni 15-17,this is not joking mtoto mtamu,serious aise.
Anyway niwekee ur email kwenye pm then nikuonyeshe mambo yangu...
Chezea DUDU JEUSI wewe!

Sina damu ya siasa hata chembe na sitokuwa nayo siwatetei nakueleza ukweli ma maisha hunifahamu sikufahamu,halafu hili jukwaa nimeingia tu by the way so u never know huwa naishia gadget.Poa walete savana plain elimu nzui na malezi mazuri tena ukizingatia hawana malezi ya wazazi wote bora uwalete savana walelewe.Mali si kitu kaka kwenye malezi unawanyima haki hao watoto wa kuzazaa kama mnyama.Sitaki kujua mambo yako coz they will add nothing to me
 
Ila hio plan yako nzuri sana maana wanawake wasasa hivi bora ukusanye watoto tu
 
WAKE UP DUDU JEUSI, have confindent with your self! After all every one else does! stop whinning! life is too short to complain! wife/kids/jobs and friends will not give you the sastifaction you are craving for! All that doesn't give happiness, infact they will add to your problem. Search God, But seek yee the kingdom of God and his rightouesness and this other things shall be added to you. You sound pathetic that people would keep away from you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom