Demu wa kuzaa nae nimpe Toyota OPA!

by the way,nikikufanyia UDALALI nikuletee mtoto mmoja safi toka SHIVAS(ni maeneo flani ya uzunguni huku arusha mabinti wa hapo ni wazuri kwa umbo na tabia)inaruhusiwa?mi ujira wangu wa udalali nikipata bodaboda moja tu itatosha!uko tayari niwahi shivas fasta?
 
jamani bado unapambana na Toyota tena kiopa..ungeongelea mjerumani kidogo basi kina Audi,VW na BM.

Kila la kheri lakini kwa utayayempata!!

we BJ,hebu tulia...watakuja wenzako watakushangaa wewe bado unaota magari ya mjeremani wakati wenzako wanashushiwa mahekalu!walishapitaga siku nyingi level ya magari!ukichekwa mi simo
 
by the way,nikikufanyia UDALALI nikuletee mtoto mmoja safi toka SHIVAS(ni maeneo flani ya uzunguni huku arusha mabinti wa hapo ni wazuri kwa umbo na tabia)inaruhusiwa?mi ujira wangu wa udalali nikipata bodaboda moja tu itatosha!uko tayari niwahi shivas fasta?
Hahahahahaha,mademu wa Arusha vimeo kishenzi mkuu.Nilipataga kidemu kimoja hapo maeneo ya SAKINA ikawa kila siku mizinga na mitoko,mara PICNIC,mara SOMBOLELO,mara SEVEN SEVEN,mara honey nipeleke kesho nairobi,mimba hakashiki nikaamua kukapiga chini,nilikua nakagongeaga hapo majengo sehemu hivi inaitwa CM GUEST HOUSE.
 
we BJ,hebu tulia...watakuja wenzako watakushangaa wewe bado unaota magari ya mjeremani wakati wenzako wanashushiwa mahekalu!walishapitaga siku nyingi level ya magari!ukichekwa mi simo

ha ha..mahekalu yanatakiwa yawe yameshashushwa siku nyingi maana ni muhimu zaidi...nilimjibu mjerumani kwa vile mkuu dudu alizungumzia gari..!!inaelekea viopa vimemchanganya!! he he
 
Hahahahahaha,mademu wa Arusha vimeo kishenzi mkuu.Nilipataga kidemu kimoja hapo maeneo ya SAKINA ikawa kila siku mizinga na mitoko,mara PICNIC,mara SOMBOLELO,mara SEVEN SEVEN,mara honey nipeleke kesho nairobi,mimba hakashiki nikaamua kukapiga chini,nilikua nakagongeaga hapo majengo sehemu hivi inaitwa CM GUEST HOUSE.

okeeeeeeeeeeey!nakajua hako kademu,tumekazika juzijuzi tu,kalienda na ule ugonjwa wetu si unaujua?si ulitumia ndomu wakati unatafuta mtoto na yeye?

N.B kama hukutumia kinga usijibu post hii tafadhali!
 
ha ha..mahekalu yanatakiwa yawe yameshashushwa siku nyingi maana ni muhimu zaidi...nilimjibu mjerumani kwa vile mkuu dudu alizungumzia gari..!!inaelekea viopa vimemchanganya!! he he
Hahahahahaha!we kimwana wewe,ebu tulia kwanza,au kama vipi niweke MP maana wenzio washachangamkia nafasi hii.Au nikupe NISSAN FAIRLADY open roof?
Au ile toyota mrs S unaijua.
 
okeeeeeeeeeeey!nakajua hako kademu,tumekazika juzijuzi tu,kalienda na ule ugonjwa wetu si unaujua?si ulitumia ndomu wakati unatafuta mtoto na yeye?

N.B kama hukutumia kinga usijibu post hii tafadhali!
Hahahahahaha.......labda umekafananisha,mbona nimekapigia sasa hivi kamesema kako hapo jogoo kanapata kuku choma?
 
sasa hao wapiga kura wako unaowaandaa utawachagulia wachague chama kipi..33 yrs hujui kwamba kupiga kura ni siri ya mtu..?daaah kweli miaka yako na point uliyotoa havilingani..mpaka leo hujakua..tu?
 
NIMEFUNGUA KATIKA KITABU CHA MAFUMBO KILICHANDIKWA NA MZEE MKIJIJI....KINASEMA toyota opa NI NENO LA KIFICHO LA "HIV/AIDS" s
 
Haya mabinti bahati yenu
hiyo sasa,aliyetayari pls aniwekee PM.
SIFA
Asiwe mlevi.
Awe mrembo.
Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
Awe tayari kuishi na mimi mpaka atakapopata mimba,baada ya hapo mkataba
wetu utaisha na atabeba kilichochake na kuondoka ntabaki kutoa pesa ya
matumizi ya mtoto kwa miaka2 kisha anikabidhi mwanangu.
Awe anajua mapenzi.
Awe mkarimu kwa ndg zangu na marafiki.
Umri kuanzia 16-35yrs.
Awe tayari kupima H.I.V.
Sina ndoto za kumuoa,mie lengo langu ni kunipatia mtoto tuu basi.
Umri wangu ni 33yrs.

bahati mbaya natalia kapigwa ban,
 
Atakaa na mtoto kwa
miaka 2 huku nikimpa huduma zote zinazo sitahiki,akisha muachisha
namchukua na yeye tunaachana rasmi,ila ruksa kuja kumuona mtoto.
Atakayenizalia mtoto wa kike ntampa offer fulani hivi ya ziada.

hiyo ofa ya ziada itakuwa mkanda wa jeshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom