demu wa brother angu anataka nile vya kaka, this weekend...should i escape?

unajua kaka ni player, unajua huyo ni shem so what else do you need for you to decide? quit the scene utakufa ama kwa kupigana na nduguyo au ama kwa ukimwi.
 
nimekuja kumtembelea brother angu kwake hapa mara moja, huyu ndugu yangu ni player sana, alioa but ndoa haikudumu, so ana wanawake kila kona hapa mwanza, sasa nina siku sita tangu nifike hapa but juz kalikuja demu wake mnyarwanda ni mzuri kweli, jamaa akaniambia nimpe kampan demu wake ye anapoenda kazini, so nimekaa nae siku ya kwanza, story nyingi sana, akafurahi kuwa jiran yang boss alipotoka job akabeba mzigo wake, na siku ya pili ni hivo ivo, so siku ya tatu alipokuwa anaondoka kurudi kwao akaniomba namba ya simu, nikachukulia ni shemeji nikampa, duh leo nimechat nae siku nzima akanitamkia hajaondoka kaenda kwa rafiki ake anarudi kwa ajiri yangu ijumaa, kwa siri nitamkuta lodge flani...kanambia she is madly in love with me ila bro asijue ataondoka jpili baada ya kumalizana na mimi...sijawai ambiwa hivi na mwanamke tangu nizaliwe nilishtuka sana...nafikilia cha kufanya sipat jibu, help please

hata wewe hujatulia hiki kinyaa kushare ndugu kamulize kaka ako hvapata jibu ni vizuri mkishare UKIMWI PIA
 
Mjomba chukua mtoto huyo.. Japo kuna madhara yake eg:
1. Udugu na kaka yako unaweza kufa
2. Mnaweza ambukizana maradhi

Kazi kwako sasa....lol

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Dah hata cha kuchangia nakosa, wacha masikio yangu yawashe kwanza baada ya kusikia kituko kingine na kuongeza idadi ya vituko ambavyo yameshasikia. Shetani atawapoteza wengi kwa tamaa zenu za ngono.
The unseen is illustrated by the seen.
 
ili tufe wote vizuri....akili haisomi hapa akija sijui itakuaje? na nikimwaga atamwambia ujinga bro, wanawake masheitwan
Pole kqaka! Jibu sahihi ni kumkwepa! Tafuta kila sababu umkwepe!huo ni uzinzi mbaya.Hapa tu jf brother yako ameishakusoma full,anaweza kukufatiliya hiyo ijumaa mpaka anawakuta live mkiwa km mlivyozaliwa.Zinaa siku zote ikimbie!
 
Butua huyo!! usiogope ukimwi ni kama tu malaria ........ Kwanza ukifa kwa ukimwi unakufa kishujaa.
 
nimekuja kumtembelea brother angu kwake hapa mara moja, huyu ndugu yangu ni player sana, alioa but ndoa haikudumu, so ana wanawake kila kona hapa mwanza, sasa nina siku sita tangu nifike hapa but juz kalikuja demu wake mnyarwanda ni mzuri kweli, jamaa akaniambia nimpe kampan demu wake ye anapoenda kazini, so nimekaa nae siku ya kwanza, story nyingi sana, akafurahi kuwa jiran yang boss alipotoka job akabeba mzigo wake, na siku ya pili ni hivo ivo, so siku ya tatu alipokuwa anaondoka kurudi kwao akaniomba namba ya simu, nikachukulia ni shemeji nikampa, duh leo nimechat nae siku nzima akanitamkia hajaondoka kaenda kwa rafiki ake anarudi kwa ajiri yangu ijumaa, kwa siri nitamkuta lodge flani...kanambia she is madly in love with me ila bro asijue ataondoka jpili baada ya kumalizana na mimi...sijawai ambiwa hivi na mwanamke tangu nizaliwe nilishtuka sana...nafikilia cha kufanya sipat jibu, help please

Anataka kukuwachia miwaya huyo, kisha mwachia kaka'ko sasa wewe. Chunga!
 
Kaka mpe mtanange huyo ila RuffRyder uikumbuke!
Hivi kumbe lile tangazo la mtandao lina ukweli wake!
Yaani kaka yako ana demu wake na huyo dem wako ana msela wake na huyo msela wake ana demu wake na huyu dem ana kasela kengine na haka kasela kana kadem kengine..........aaah siwezi maliza....
 
MSATULAMBALI Kitendo cha kusema kuwa hata una consider kulala na huyo dada ni tatizo... siku zote kushare mwanamke na ndugu yako ama rafiki yako wa karibu inabidi yule ndugu/rafiki aridhie. Sioni kama inapendeza kutembea na huyo dada hata kama umejaribu kujustify kuwa kaka yako ni player.... Na mwanamke ambaye kweli anakupenda, lazima basi angekuwa na soni, yupo na kakake anakutaka wewe na yuko radhi mkutane guest... kuna kitu missing katika maelezo yako, there has to be more... maana kwa mwanamke akupende sana na akimbilie kutaka kulala na wewe kwa njia ya cheating ndugu yako wewe; sio rahisi kihivo.
 
Last edited by a moderator:
kula mzigo huo wewe bana. sasa wewe umeshasema kuwa bro player sasa demu nae kashalijua hilo so anachotaka ni kudo na mtu wa karibu ili mwana imuume
 
nimekuja kumtembelea brother angu kwake hapa mara moja, huyu ndugu yangu ni player sana, alioa but ndoa haikudumu, so ana wanawake kila kona hapa mwanza, sasa nina siku sita tangu nifike hapa but juz kalikuja demu wake mnyarwanda ni mzuri kweli, jamaa akaniambia nimpe kampan demu wake ye anapoenda kazini, so nimekaa nae siku ya kwanza, story nyingi sana, akafurahi kuwa jiran yang boss alipotoka job akabeba mzigo wake, na siku ya pili ni hivo ivo, so siku ya tatu alipokuwa anaondoka kurudi kwao akaniomba namba ya simu, nikachukulia ni shemeji nikampa, duh leo nimechat nae siku nzima akanitamkia hajaondoka kaenda kwa rafiki ake anarudi kwa ajiri yangu ijumaa, kwa siri nitamkuta lodge flani...kanambia she is madly in love with me ila bro asijue ataondoka jpili baada ya kumalizana na mimi...sijawai ambiwa hivi na mwanamke tangu nizaliwe nilishtuka sana...nafikilia cha kufanya sipat jibu, help please

Be consinstency in story telling, is your brother = jamaa = boss, or they are three different people?
 
wanangu wataangamia kwa kukosa maarifa....yaani mtu kishaelekea kibla we unajivutavuta kupandisha msuli...kunjuka uje hapa ulete matokeo sio unatuletea ma hekaya ya abunuwasi...hivi vijana wa siku hizi mkoje nyie ..? enzi zetu binti wa hivo yaani asubuhi niko naye super kitasa guest house jioni anatema mate hayafiki chini..kudadadeki....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom