demu wa brother angu anataka nile vya kaka, this weekend...should i escape?

MSATULAMBALI

Senior Member
Apr 1, 2012
187
55
nimekuja kumtembelea brother angu kwake hapa mara moja, huyu ndugu yangu ni player sana, alioa but ndoa haikudumu, so ana wanawake kila kona hapa mwanza, sasa nina siku sita tangu nifike hapa but juz kalikuja demu wake mnyarwanda ni mzuri kweli, jamaa akaniambia nimpe kampan demu wake ye anapoenda kazini, so nimekaa nae siku ya kwanza, story nyingi sana, akafurahi kuwa jiran yang boss alipotoka job akabeba mzigo wake, na siku ya pili ni hivo ivo, so siku ya tatu alipokuwa anaondoka kurudi kwao akaniomba namba ya simu, nikachukulia ni shemeji nikampa, duh leo nimechat nae siku nzima akanitamkia hajaondoka kaenda kwa rafiki ake anarudi kwa ajiri yangu ijumaa, kwa siri nitamkuta lodge flani...kanambia she is madly in love with me ila bro asijue ataondoka jpili baada ya kumalizana na mimi...sijawai ambiwa hivi na mwanamke tangu nizaliwe nilishtuka sana...nafikilia cha kufanya sipat jibu, help please
 
Unafikiria nini sasa hapo? Kweli tamaa zitawazika wengi. Kwanza umeshakiri mwenyewe kaka yako ni player boy. Je unafikiri huyo kaka yako ni mzima? Na je huyo dada anayedai anataka kutembea na wewe unafikiri ni nini hakukipata kwa kaka yako ambacho we unacho? Acha tamaa kijana. Weka malengo ya maisha na u focus kwenye hayo. Vinginevyo tutakupoteza muda si mrefu. Wanawake wapo tu na bado wazuri hata hawajazaliwa. Anyway, uhamuzi ni wako.

nimekuja kumtembelea brother angu kwake hapa mara moja, huyu ndugu yangu ni player sana, alioa but ndoa haikudumu, so ana wanawake kila kona hapa mwanza, sasa nina siku sita tangu nifike hapa but juz kalikuja demu wake mnyarwanda ni mzuri kweli, jamaa akaniambia nimpe kampan demu wake ye anapoenda kazini, so nimekaa nae siku ya kwanza, story nyingi sana, akafurahi kuwa jiran yang boss alipotoka job akabeba mzigo wake, na siku ya pili ni hivo ivo, so siku ya tatu alipokuwa anaondoka kurudi kwao akaniomba namba ya simu, nikachukulia ni shemeji nikampa, duh leo nimechat nae siku nzima akanitamkia hajaondoka kaenda kwa rafiki ake anarudi kwa ajiri yangu ijumaa, kwa siri nitamkuta lodge flani...kanambia she is madly in love with me ila bro asijue ataondoka jpili baada ya kumalizana na mimi...sijawai ambiwa hivi na mwanamke tangu nizaliwe nilishtuka sana...nafikilia cha kufanya sipat jibu, help please
 
ah ah patamu hapo#sema mbona kipori kimekuwa easy sana# condomize af mwambie bro mkiwa tungi lazima akukubali
 
Like this advice. kitu kama hiki unataka nini humu mtafute Mzee Yusuph atakushauri
 
sio siri huyo dem mkali sana, tatizo jamaa kabutua sana na sijui kama wanatumia condom coz according to dem walianza mahusiano tang mwaka jana....mitego mingine njaa zitatuua
 
Dogo usijichanye katika balaa hilo, penzi nikikohozi siku mtakuja uana kwa sababu ya mwanamke.
 
sio siri huyo dem mkali sana, tatizo jamaa kabutua sana na sijui kama wanatumia condom coz according to dem walianza mahusiano tang mwaka jana....mitego mingine njaa zitatuua

Kwa kusifia huku nina mashaka, mueleze kuwa weekend huna nafasi au utaondoka kwenda safari.

Hivi ina maana kufunga kamba wewe hujui?
 
sio siri huyo dem mkali sana, tatizo jamaa kabutua sana na sijui kama wanatumia condom coz according to dem walianza mahusiano tang mwaka jana....mitego mingine njaa zitatuua

Kwa tabia na sifa za kaka yako uloziweka humu, ni wazi unataka kufa kabla ya siku zako.
Kaka yako amepata kiboko yake, yeye ana mademu kila kona na huyo demu wa kinyarwanda inaonekana ana mabuzi kila kona!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom