Demu mchesha shoo

Walikutana knye shoo kazini kwa mshua, kuna siku walikuja kutoa burudani knye part ofsini kwao jamaa akafika bei, mwanzoni ilikuwa anaenda shoo siku 4 kwa wk ila kwa sasa ni kila siku akija amechoka hapat huduma had j2

Simple...

Mwambie jamaa aanzishe bendi ya sebene, na amuajiri huyo demu. Siku anataka mkewe asiende, anamwambia kiongozi wa bendi siku hiyo kusiwepo na shoo...
 
Wapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani, anaomba ushauri kwani anataka kumuacha mshua ni mwajiriwa sasa muda wa kuwa nae hana ni wk end tu tena asubuh had mchana jioni kama kawa anasepa knye kukatika, demu hatak kaz nyingne. Afanyeje?

Kayataka mwenyewe huyo!
 
jaman nae aende huko kwenye shoo akaone mauno ya demu wake vizuri......
 
Huyu bwana hamjamsaidia, inatakiwa aoe/aongeze mwanamke mwingine wawe wawili mambo yote yatajirekebisha.
 
Wapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani, anaomba ushauri kwani anataka kumuacha mshua ni mwajiriwa sasa muda wa kuwa nae hana ni wk end tu tena asubuh had mchana jioni kama kawa anasepa knye kukatika, demu hatak kaz nyingne. Afanyeje?
Ukipenda mboga ya maboga upende na boga lake
 
asa kipi cha ajabu maana kama anaumizwa na kucheza shoo basi amtafutie kazi nyingine au biashara ambayo itamlipa kuliko hiyo. Mi nashangaa sana wengine wanalalamika MKE WANGU GOLI KIPA huyo analalamika mkewe mcheza show ANYWAY WE DIFFER
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom