Demu mchesha shoo

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Wapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani, anaomba ushauri kwani anataka kumuacha mshua ni mwajiriwa sasa muda wa kuwa nae hana ni wk end tu tena asubuh had mchana jioni kama kawa anasepa knye kukatika, demu hatak kaz nyingne. Afanyeje?
 
jibu zuriii sanaaa,kwani mwazo hakujuaa huyo mwanamke ni stejii show aka mkata nyongaa,piaa ile ni ajiraa lakini wangapi wake zao wanafanya kazi night ilaa wanajiheshimu.inatakiwaa atafute siku moja mpenzi wake yuko free ana furaha aongee nae.
alivyompenda c alijua kazi yake?
 
jibu zuriii sanaaa,kwani mwazo hakujuaa huyo mwanamke ni stejii show aka mkata nyongaa,piaa ile ni ajiraa lakini wangapi wake zao wanafanya kazi night ilaa wanajiheshimu.inatakiwaa atafute siku moja mpenzi wake yuko free ana furaha aongee nae.

issue c kuchelewa kurud!yaan kucheza show ni tatzo,maanda maungo ya mwili wadau wote wanayaona!
 
Ndio taabu ya kukurupuka kuchagua wapenzi wakati hujajua hasa nini moyo wako unataka,alikutana nae kanisani au msikitini mpaka leo aanze kulalama?Hapo naona hakuna mapenzi ya dhati bali jamaa anatafuta pa kutokea baada ya kupata alichokuwa anataka na kuchoka.
 
Alikuwa hajui ratiba ya mpenzi wake tokea awali? I thought kabla ya yote alishaliona hilo na kuamua namna ya kukabiliana nalo
 
Walikutana knye shoo kazini kwa mshua, kuna siku walikuja kutoa burudani knye part ofsini kwao jamaa akafika bei, mwanzoni ilikuwa anaenda shoo siku 4 kwa wk ila kwa sasa ni kila siku akija amechoka hapat huduma had j2
 
Wapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani, anaomba ushauri kwani anataka kumuacha mshua ni mwajiriwa sasa muda wa kuwa nae hana ni wk end tu tena asubuh had mchana jioni kama kawa anasepa knye kukatika, demu hatak kaz nyingne. Afanyeje?
Ndugu yangu, si unajua kuwa kipenda roho hukla nyamba mbichi? basi, achana na kazi unayoifanya sasa hivi, jifunze na wewe kucheza shoo, ukishafuzu mtaendana tu
 
amfungulie biashara ili amtoe kwenye hio kazi yake ya awali-otherwise yeye ajitoe
 
Si amtafutie shughuli nyingine ili aache hiyo ya kukata mauno?Na kama akikataa basi hamfai!
 
issue c kuchelewa kurud!yaan kucheza show ni tatzo,maanda maungo ya mwili wadau wote wanayaona!

bado swali linarudi palepale si alijua kuwa ni mcheza shoo? unasema walikutania ofsn kwake alikuja kucheza shoo, ina maana toka siku hiyo alijua kazi ya mwenza wake, maungo ya mwili kuonekana, kukata viuno n.k. alipoamua kumtongoza alijua yote hayo akayafumbia macho, anachotakiwa kufanya ni kukubaliana na hali halisi. wapange jinsi ya kuspend time pamoja, ila hiyo kazi inayomweka mjini akubaliane naoyo tu...
 
huyo rafiki yako ni mnafiki tu, ina maana yeye hakujua kazi ya huyo my girlfriend wake mpaka akaamua kukaa naye? Nalog off
 
asilione tatizo la mcheza shoo usiku, asisahau kuwa huyo demu mchana kutwa kalala home, nae hamuelewi mpenzi anaeenda job mchana kutwa! cha msingi akubaliane na ratiba hiyo, vinginevyo amuache binti wa watu aendelee na maisha yake, yeye akatafute fulltime housewife, huyo atampata kwa kula uroda 24/7
 
washawasha nimekuzimikia ile mbaya ningekuwa dume ningekutongoza!
avatar227_3.gif
 
Huyu kinachomsumbua sasa siyo kitendo cha mwanamama kucheza shoo maana hilo aliridhika nalo tangu mwanzo, bali kinachomsumbua ni wivu tu wa kufikiria kwamba labda huko kwenye shoo atakuwa anaibiwa. Kusaidia katika hili namshauri awe anakwenda anaangalia shoo mpaka wakati wa kufunga anaondoka na mzigo wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom