KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Kama kuna demu nimempata nimesomesha akakubali tukaenda guest kaninyima nikataka kulazimisha akaniuliza swali ukinilazimisha utaenjoy??nikona niswala la msingi akasema kwanini tusifanye kwa nafasi wakati mimi nimejitune??hivyo nikatoka guest mpaka sasa sijaambulia!!je wanawake wahivyo wanatakiwa kutolewa ngoma kwa lazima??maana ukionyesha usitaarabu unaonekana fara,lipi jema.