Demu baya halafu linaringa!!!

nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
Acha janja ya sungura ya sizitaki mbichi hizo!! Maneno yako ni ya mkoswaji tu.
 
Mkuu Muuza Sura! Isije kuwa una sura mbaya kama yule Waziri Tai usoni. Afu unatutisha kwa maandishi hapa ilhali sura haitengenezeki...!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom