Demu baya halafu linaringa!!!

nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
<br />
<br />
unamwambia mwenzio mbaya kwani wewe mzuri??nakutani.
ukweli ni kwmba wasichana wabaya ni vihekehele,wanalinga na wanamdomo mchafu lakini wanapata marafiki wazuri.siwapendi.mia
 
nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
Hili tukio nadhani lilitokea Mlimani city,Slipway au Steers hahaha! jina lako tu limetupa picha u mtu wa aina gani.
Sisi wakubwa zako miaka hiyoo likitokea tatizo kama hili unatafuta rafiki yako anamtokea huyo 'kiherehere limited' kukupa muda wa wewe kuweka mambo sawa na huyu mkare wetu.
 
Unajua hizi topics/threads za members tofauti tell us a lot kuhusu

the person behind the Avatar... Jina lako ni Muuza Sura, post yako

waponda demu mbaya.... Inaonesha wee kigezo kikuu cha kuona mtu

ni wa maana kwako ni uzuri wake... Hio inasema nini kuhusu wewe?
 
Hili tukio nadhani lilitokea Mlimani city,Slipway au Steers hahaha! jina lako tu limetupa picha u mtu wa aina gani.
Sisi wakubwa zako miaka hiyoo likitokea tatizo kama hili unatafuta rafiki yako anamtokea huyo 'kiherehere limited' kukupa muda wa wewe kuweka mambo sawa na huyu mkare wetu.
Ha ha ha! playa playa kama anahang sana na rafiki yake piga cross watu wacheke na nyavu.Wanawake hawapendi sana dume muuza sura,wanaona kama una madharau(I support them),if you are humble and respectful huwezi kuchukiwa na rafiki zake.
 
nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....

Hana mpya huyu asitushughulishe,ebu aweke na yeye pic yake tumuone,yule anaewambia wenzie wabaya ukiona sura yake,utashanga kumbe anajisema mwenyewe.
 
kama kioo na dadako zako wanadanganya watakuwa wamenipatia sana!naamini hata kama mtu hater hawezi sema mimi mbaya labda kuonyesha chuki atasema mimi wa kawaida!
 
Everyone is beautifully and fearfully made! Watch ur remarks usije ukazaa binti akawa anakataliwa na wanaume kisa 'mbaya'
 
Mdogo wangu unaniangusha sasa kumbe we ng'asti a.k.a. mario ? wakubwa zako tunahisi faraja kuhonga sasa weye unajisifu kwa kuhongwa na manzi ??

nao wanahisi faraja kuhonga ntawakatazaje mkuu!uso ukiwa na makunyanzi ndo ntaanza kufikiria kuhonga......
 
Back
Top Bottom