Demu baya halafu linaringa!!!

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,345
nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo....
 
kuna likiwanda likubwa huko Japani linatengeneza magari aina ya Toyota.....labda ungejaribu kuwaambia wakutengenezee wa kwako....inawezekana
 
ubaya au uzuri is a very relative term. kuna mwenzio huko halali wala hanywi maji cozakiangalia glasi anauona huyo unayemuita mbaya! kalaghabaho!
 
Wanawake wabaya hivi huwa hawajitambui? Wengi wao huwa wanajisikia sana!!!
 
mmmh, we nshakushtukia ni nani, thread kama hii ilishakuja hapa umeamua tu kuileta kwa style ingine

Taadab'!

Mbaya wewe unaweza kumuumba kama huyo?

We kweli unachekesha kwanza lugha umetumia mbaya sana unaonyesha na wewe ni m-baya sana eti m-baya umemuumba wewe?!

Tatizo umeuzisha sana sura.

kuna likiwanda likubwa huko Japani linatengeneza magari aina ya Toyota.....labda ungejaribu kuwaambia wakutengenezee wa kwako....inawezekana

Mhhh, umewaudhi akina Dada/Mama wa JF.. Waombe radhi Bana!
 
ubaya au uzuri is a very relative term. kuna mwenzio huko halali wala hanywi maji cozakiangalia glasi anauona huyo unayemuita mbaya! kalaghabaho!
Hapa unafananisha mapenzi na uzuri!
Mapenzi na uzuri ni vitu viwili tofauti!
Uzuri ni uzuri tu, mwanamke mbaya anaoekana mbaya!! Na mzuri anaoneka mzuri!! Kwenye kupenda ndiyo ishu yako ya relative term inaingia!
 
Back
Top Bottom