DEMU ALINITOSA LEO,ANANILILIA ,nisaidien wakuu.

Mkuu hii love story umeichomoa gazeti gani au shigongo? Mpenzi wako mpo hapo dar unaenda urusi asijue??

Hujasoma vizuri.Anasema wakati anaondoka mawasiliano yalikuwa yashazorota.
Story yenyewe ya zamani sijui kwa nini inaibuliwa sasa
 
Wakuu mimi nilikuwa nimemaliza shule ya msingi mwaka 1997,mapambano primary School, mjini Dsm. Nilikuwa nasoma na Mtoto mmoja mkali sana yaani mzuri wa sura. lakini kipindi hicho alikuwa rafiki yangu tu wa kawaida. Baada ya Darasa la saba me nilifaru kwenda AZANIA Sec. School. yule binti alikuwaalichaguliwa kwenda kisutu Sec. School.

Lakini me wazee wakamua niende Maua Seminary, Na yule binti akaenda kifungiro. wakati huo tulikuwa tuna wasiliana kama marafiki tu wakati wa likizo. baada ya kumaliza o"level yule binti akapelekwa Loleza, me nilipangiwa Songea boys High school but nikaamua kwenda Sangu high school Mbeya. Nikakutana na yule binti Mbeya ,

Basi tukaanza mahusiano ya kimapenzi mwaka huo. tulikuwa wote tunarudi likizo pamoja na wote tunaenda shule pamoja tukifika mbeya kila mtu anaelekea shuleni kwake.Tuliendelea na mahusiano na kila mtu akijitahidi kwenye masomo. Me nilikuwa nasoma PCM na yeye CBG.
Matokeo ya advance Tukafauru na kajiunga na Chuo Udsm. B.Eng Computer Engineering and IT yeye alipata kuajiliwa na PEA COCK Hotel kabla ya chuo kuanza.(kumbuka miaka hiyo tulikuwa tunakaa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na chuo tofauti na sasa watu wanaunganisha.)

Me niko shule yeye yupo kazin ,akaanza kuniletea mapozi kila kimtafuta alikuwa yupo bize sana, nilikuwa najikaza ikafika kipindi nikimpigia mpaka simu hapokei. Basi nikachukulia easy.

na mimi mwaka ule ule nikapata Schoraship ,ya kwenda kusoma Urusi nikaacha udsm nikaenda urusi kusoma kozi ileile Computer Science Engineering. kozi yanguilikuwa ya miaka mitano.nilipomaliza mwaka wa kwanza urusi, nikaja Dsm kutembea likizo nikamtafuta yule binti kwa bidiii zote nikaenda kwao nikawakuta wazazi wake nikamuulizi bcoz walikuwa wananijua walinikalibisha wakaniambia mwenzako amehama amehamia kimara amepanga. wakanipa namba yake.

Baada ya kunipa namba yake nikampigia ,nikajitamburisha kwa kweli alinikumbuka akasema yupo bize kidogo nimpigie baadaye.

Baadaye nikampigia tena ,akaniambia yupo ndani ya gari akishuka atanipigia ,nikasubiri nikaona apigi. Baadaye niakamua nimpigie ikapokelewa ile simu lakini ni sauti ya mwanamke mwingine ikisema " we ni nani mwenye simu hayupo" nikajitamburisha ,akaendelea kusema " wewe ndiye unataka kuharibu ndoa ya wifi yangu na kaka yangu" nikawa pazzled , sijakaa sawa nikapigiwa mimi ikasikika sauti ya mwanaume " wewe ndiye unamsumbua mke wangu" nika changanyikiwa zaidi. Nikaanza kujiuliza hivi huyu binti ameshaolewa mbona nimeenda kwao hawajanipa hiz taarifa,nilisikitika sana coz nilimpenda sana huyu mdada.

likizo ilikuwa imeisha nikarudi zangu Urusi, nikaa kule mpaka nimemaliza Chuo, miezi mitatu kabla sijamaliza chuo nilikuwa nachati kwenye Marafiki.com . Bahati nzuri nika mkuta yule bint online kwa jina lake lile lile ,me nilikuwa natumia nickname . Nikamuuliza wewe ndiye X akanijibu kama ifutav
nimelitoa jina mutanisamehe.nimeliita (X).

Nikamuuliza umeshawahi kuishi Mbeya?
akajibu:
mmmh nilishawahi kuwa Mbeya ila ni mda mrefu sasa, wewe je uko wapi?

Nikamwabia me nipo Urussi ,kwa kweli alikuwa anajua kama mimi bado niliendelea Udsm,hakujua kama niliacha pale

nikamwambia wewe ni (X),akanijibu:
"its me ma dia, sasa waweza nambia wewe ni nani?"

Nikamwambia unamjua (Y)?,yaani mimi
akajibu:
"ndio namfahamu wewe ni nani?"

Nikamwambia mimi ndiye (Y) .

akanijibu:"naomba nikupe email yangu ili tuwasiliane m___X@yahoo.com nakukumbuka sana ma dia"

nafurahi kuchat na wewe tena.
nikamwambia sehemu nilipo na kitu gani nakifanya
"mmmh sawa nafurahi kusikia hivyo mimi nipo bado dar maisha yamenipiga ile mbaya mpaka natamani nitorokee vijijini. Ni lini unakuja bongo ama umeshahamishia life yako huko kwa warusi?

akaanaza kuniomba msamaha kwa yote yaliotokea ,nikanuuliza mumeo hajambo akasema hajaolewa bado kumbe ile ilikuwa nini hakunipa jibu lakini inaonekana kama alipigwa kibuti na huyo jamaa ambaye alikuwa anaishi naye.ananibembeleza turudiane ,alinuliza siku ya kurudi dar nikamwambia ,
narudi tu Air port nikamkuta naye anakuja kunipokea ,ni muda imepita miaka miwili sasa bado ananibembeleza kwa sasa ameshaanza chuo yupo Mzumbe anasoma Degree ya Busness administration.

lakini siku hiz havutii kama alivyokuwa anavutia zamani.

Wazee mnasemaje naombeni ushauri.

Ti shto bratan, idti trakat eyo i uxodi atsyuda. Ana prosto suchka.
 
Dahh!! Ila ushauri wangu !!! Ni kuwa kwa usamaria iliouonyesha kwa huyo binti ni kuwa upo tayari kubeba msalaba wake . Sio neno waweza fanya hivyo kwani binadamu wengine mmeumbwa kubeba matatizo ya wengine. Ila mapenzi yapo upande mmoja tu hapo .
 
kiukweli mdogo wangu mimi nakushangaa sana umesoma Urusi 5 years!!!!badala ungekuja na dem wa kizungu ili umpasue kichwa vizur of couse alishakuona wewe duanzi na utaendelea kuwa duanzi kama utakula matapishi.Apologise even I pised you

Ya Japan na Horticulture mkuu, ulirudi mwenyewe bila Binti wa Kijapan
 
Pole kwa yaliyokukuta. Ila nina amini binadamu hatujakamilika. Tunajifunza kutokana na makosa na pia tunakuja tambua thamani ya tulichokuwa nacho baada ya kukipoteza au baada ya kupitia kayika majaribu. Hivyo tunapopata nafasi NYINGINE huwa tunaikumbatia kwa nguvu zote. Hivyo basi yawezekana huyo rafiki yako amejifunza na anahitaji kupewa nafasi nyingine, ila muda huo huo kama wewe si mtu wa kutoa nafasi ya 'pili' kwa mtu basi cha kufanya MSAMEHE ila ukubaliane naye kuwa mtakuwa marafiki wa kawaida tu. Mvunje moyo kwa kumwambia una 'mtu' tayari, na kama utakuja ona mabadiliko huko mbele basi utakuja mueleza sababu ya wewe kumwambia kuwa ulikuwa na mtu kisha mkarudiana. Ila kuwa muangalifu, baadhi ya hawa dada zetu hawaeleweki.
 
maneno yako yananipa maswali,je umezimia nn kwake,mvuto,tabia au kuolewa nae?wadai havutii tena? acha kutuzuga hapa,we sema ulitaka kutujulisha tu ulisoma urusi,na demu uliekuwa naye.Nahisi wala humpendi tena,sababu havutii tena,shika njia yako tu!
 
mkuu kama kweli ulimpenda na bdo unampenda mkubalie, lakini uwe mwangalifu ucjekuwa ww n kijiwe cha kutulizia maumiv aliyoyapata huko
 
maneno yako yananipa
maswali,je umezimia nn kwake,mvuto,tabia au kuolewa nae?wadai havutii
tena? acha kutuzuga hapa,we sema ulitaka kutujulisha tu ulisoma urusi,na
demu uliekuwa naye.Nahisi wala humpendi tena,sababu havutii tena,shika
njia yako tu!

Jamani hiki nini? Urusi ni nini?
 
Vo Month unaakili sana wewe,tukiwaonyesha seriousness wanatufanya misukule yao na yakiwashinda wanajifanya 'watakatifu wa siku za mwisho' mikono nyuma. Ss jamaa anapendwa pengine maisha yamekaa vzr anatafuta urahisi

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Wakuu mimi nilikuwa nimemaliza shule ya msingi mwaka 1997,mapambano primary School, mjini Dsm. Nilikuwa nasoma na Mtoto mmoja mkali sana yaani mzuri wa sura. lakini kipindi hicho alikuwa rafiki yangu tu wa kawaida. Baada ya Darasa la saba me nilifaru kwenda AZANIA Sec. School. yule binti alikuwaalichaguliwa kwenda kisutu Sec. School.

Lakini me wazee wakamua niende Maua Seminary, Na yule binti akaenda kifungiro. wakati huo tulikuwa tuna wasiliana kama marafiki tu wakati wa likizo. baada ya kumaliza o"level yule binti akapelekwa Loleza, me nilipangiwa Songea boys High school but nikaamua kwenda Sangu high school Mbeya. Nikakutana na yule binti Mbeya ,

Basi tukaanza mahusiano ya kimapenzi mwaka huo. tulikuwa wote tunarudi likizo pamoja na wote tunaenda shule pamoja tukifika mbeya kila mtu anaelekea shuleni kwake.Tuliendelea na mahusiano na kila mtu akijitahidi kwenye masomo. Me nilikuwa nasoma PCM na yeye CBG.
Matokeo ya advance Tukafauru na kajiunga na Chuo Udsm. B.Eng Computer Engineering and IT yeye alipata kuajiliwa na PEA COCK Hotel kabla ya chuo kuanza.(kumbuka miaka hiyo tulikuwa tunakaa mwaka mmoja kabla ya kujiunga na chuo tofauti na sasa watu wanaunganisha.)

Me niko shule yeye yupo kazin ,akaanza kuniletea mapozi kila kimtafuta alikuwa yupo bize sana, nilikuwa najikaza ikafika kipindi nikimpigia mpaka simu hapokei. Basi nikachukulia easy.

na mimi mwaka ule ule nikapata Schoraship ,ya kwenda kusoma Urusi nikaacha udsm nikaenda urusi kusoma kozi ileile Computer Science Engineering. kozi yanguilikuwa ya miaka mitano.nilipomaliza mwaka wa kwanza urusi, nikaja Dsm kutembea likizo nikamtafuta yule binti kwa bidiii zote nikaenda kwao nikawakuta wazazi wake nikamuulizi bcoz walikuwa wananijua walinikalibisha wakaniambia mwenzako amehama amehamia kimara amepanga. wakanipa namba yake.

Baada ya kunipa namba yake nikampigia ,nikajitamburisha kwa kweli alinikumbuka akasema yupo bize kidogo nimpigie baadaye.

Baadaye nikampigia tena ,akaniambia yupo ndani ya gari akishuka atanipigia ,nikasubiri nikaona apigi. Baadaye niakamua nimpigie ikapokelewa ile simu lakini ni sauti ya mwanamke mwingine ikisema " we ni nani mwenye simu hayupo" nikajitamburisha ,akaendelea kusema " wewe ndiye unataka kuharibu ndoa ya wifi yangu na kaka yangu" nikawa pazzled , sijakaa sawa nikapigiwa mimi ikasikika sauti ya mwanaume " wewe ndiye unamsumbua mke wangu" nika changanyikiwa zaidi. Nikaanza kujiuliza hivi huyu binti ameshaolewa mbona nimeenda kwao hawajanipa hiz taarifa,nilisikitika sana coz nilimpenda sana huyu mdada.

likizo ilikuwa imeisha nikarudi zangu Urusi, nikaa kule mpaka nimemaliza Chuo, miezi mitatu kabla sijamaliza chuo nilikuwa nachati kwenye Marafiki.com . Bahati nzuri nika mkuta yule bint online kwa jina lake lile lile ,me nilikuwa natumia nickname . Nikamuuliza wewe ndiye X akanijibu kama ifutav
nimelitoa jina mutanisamehe.nimeliita (X).

Nikamuuliza umeshawahi kuishi Mbeya?
akajibu:
mmmh nilishawahi kuwa Mbeya ila ni mda mrefu sasa, wewe je uko wapi?

Nikamwabia me nipo Urussi ,kwa kweli alikuwa anajua kama mimi bado niliendelea Udsm,hakujua kama niliacha pale

nikamwambia wewe ni (X),akanijibu:
"its me ma dia, sasa waweza nambia wewe ni nani?"

Nikamwambia unamjua (Y)?,yaani mimi
akajibu:
"ndio namfahamu wewe ni nani?"

Nikamwambia mimi ndiye (Y) .

akanijibu:"naomba nikupe email yangu ili tuwasiliane m___X@yahoo.com nakukumbuka sana ma dia"

nafurahi kuchat na wewe tena.
nikamwambia sehemu nilipo na kitu gani nakifanya
"mmmh sawa nafurahi kusikia hivyo mimi nipo bado dar maisha yamenipiga ile mbaya mpaka natamani nitorokee vijijini. Ni lini unakuja bongo ama umeshahamishia life yako huko kwa warusi?

akaanaza kuniomba msamaha kwa yote yaliotokea ,nikanuuliza mumeo hajambo akasema hajaolewa bado kumbe ile ilikuwa nini hakunipa jibu lakini inaonekana kama alipigwa kibuti na huyo jamaa ambaye alikuwa anaishi naye.ananibembeleza turudiane ,alinuliza siku ya kurudi dar nikamwambia ,
narudi tu Air port nikamkuta naye anakuja kunipokea ,ni muda imepita miaka miwili sasa bado ananibembeleza kwa sasa ameshaanza chuo yupo Mzumbe anasoma Degree ya Busness administration.

lakini siku hiz havutii kama alivyokuwa anavutia zamani.

Wazee mnasemaje naombeni ushauri.

Achana naye kabisa huyo mkuu, ni shetani kabisa. Kaona sasa anataka kuoewa ndo anajileta, kashatumika huko sasa akuletee makombo. Piga chini atakuletea matatizo mbeleni. Jua anachokifuata kwako si mapenzi ni eitha kuolewa ama pesa.
 
Kama kuna kunakakitu unakakumbuka hua anakufanyia mkiwa chemba nenda kajikumbushie kama hakuna basi ni vema uendelee na familia yako mrusi aisee
 
huyu jamaa kwanza alidanganya.
Sangu hakujawahi kuwa na PCM/PCB au combination zinazoendana na mambo hayo.
pale combination inayoonekanaga kigongo ni EGM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom