DEMU ALINITOSA LEO,ANANILILIA ,nisaidien wakuu.

Dah, kwakweli nimesoma hiyo story yako. Imemikumbusha just exactly pattern of my versions of story. Tofauti tu sjjawahi kufika nae mbali, pamoja nilimpenda kupita kiasi. Kuna wakati mpka leo ananijia ndotoni nami nimeshaoa.
To keep the story short, nilijaribu kumtafuta baada ya kupotezana. Lakni alinidanganya kwamba ameolewa, yaani visa tu. Nikaona kama vile ananichukia for no apparent reasons. Basi, nikaona iswe tabu nikamove on. Lakni ni mtu niliyempenda wa kwanza, and i really wished ningemwoa lakni nimekutana na mtu anayenipenda zaidi yake.

Ushauri wangu. Wewe move on, tena ukitaka uwe strong and with courage. Confront her and tell her how you felt about her. Usije fanya kosa, kurudiana nae. Mkuu utakuwa kichaa nakuambia. Akilia mbele yako just mbembeleze and go away.
Wanawake hawajui watakalo. Wako very opportunistic and goal oriented. Sisi kwakweli tunapenda na tunajua tukipenda.
Nakutakia kila la kheri Mungu akupe yule hitaji la moyo wako.
 
Yeah, he has to let it go and keep moving.
Kumrudia ni kosa, linaweza kumgharimu sana huko mbeleni...
 
Kuna kitu kimoja tu;uwezo wa kutambua na kufikiria ya mbele.kutokana na sababu kuu mbili;
1.HAVUTII
2.USALITI
Sioni haja ya kurudina naye kwani moyo wako hauko tayari ijapokuwa kashafunzwa na ulimwengu.
 
Umesema "siku hizi havutii kama zamani" hilo tayari ni tatizo na ni kasoro katika mapenzi.

Achana nae utamuumiza au atakuumiza.
 
Huyo ni "mkataa pema".....mwache tu atampata wa kufanana naye, ilivyo nyie hamtafanana au la mkilazimisha mtafanana kwa muda ilabaada ya muda kila mtu atajulikana sura yake halisi.
 
hakupendi huyo anataka kitu ulicho nacho. kama angekuwa na mapenzi ya kweli kwako angekueleza ukweli tangu wakati ule umekuja likizo kwamba kwa sasa niko na aina hii ya maisha kwa hiyo tuendelee kuwasiliana lakini ni kwa ajili ya aina ya mahusiano tulokuwa nayo wakati ule wa Mbeya, n.k.

Just be careful na watu watakavitu......
 
Dah, kwakweli nimesoma hiyo story yako. Imemikumbusha just exactly pattern of my versions of story. Tofauti tu sjjawahi kufika nae mbali, pamoja nilimpenda kupita kiasi. Kuna wakati mpka leo ananijia ndotoni nami nimeshaoa.
To keep the story short, nilijaribu kumtafuta baada ya kupotezana. Lakni alinidanganya kwamba ameolewa, yaani visa tu. Nikaona kama vile ananichukia for no apparent reasons. Basi, nikaona iswe tabu nikamove on. Lakni ni mtu niliyempenda wa kwanza, and i really wished ningemwoa lakni nimekutana na mtu anayenipenda zaidi yake.

Ushauri wangu. Wewe move on, tena ukitaka uwe strong and with courage. Confront her and tell her how you felt about her. Usije fanya kosa, kurudiana nae. Mkuu utakuwa kichaa nakuambia. Akilia mbele yako just mbembeleze and go away.
Wanawake hawajui watakalo. Wako very opportunistic and goal oriented. Sisi kwakweli tunapenda na tunajua tukipenda.
Nakutakia kila la kheri Mungu akupe yule hitaji la moyo wako.

chukua huu ushauri. let it go. Move on na mweleze why humtaki tena ili ajifunze. wewe chukua chuma kipya achana na vyuma chakavu bro.
 
huyo hakufai kabisa ,alishakuona hauna insu ,achana naye chukua kitu kimya.
 
ikitokezea mwanamume kufahamu vipi akili ya mwanamke inavofanyakazi anaeza kuapata shahada ya udaktari

wife was mad and with loud noise I cant believe that i married such a stupid man like you
husband replied you should know right away the day when I said I DO
 
my friend, kama yeye alikufanya 1+1=1 wewe mfanye 2+3=6. wanawake wasio na msimamao ni watu wa hatari na wa kuogopwa. ukirudiana nae ipo siku atakutosa tena akipata 'kipenzi na barafu ya moyo wake'!
 
Mkuu.Inaelekea unampenda sana huyo dada ndio maana moyo wako unakuwa mgumu kuachana naye.Ila ki ukweli bi mdada ni opportunistic.Hana mapenzi ya dhati kwako kabisa.Na kwa sababu unasema alimaliza darasa la saba 1997, basi kwa hesabu ya haraka haraka huyo bi mdada yupo disperate na kwa sasa anatafuta ndoa tuu.Ukicheza utajikuta unaumizwa vibaya mno huko uendako.
 
umesema unaomba ushauri????
1- unaomba ushauri wa nini?
2- kwanini unatuomba sie ushauri?
3- unadhani hapa utapata ushauri?
4- yeye mwenzio je anasemaje?
5- unaweza kumwambia na huyo mwenzio aliyekuja kukupokea airport aje hapa kuomba ushauri?
6- unadhani una-akili timamu na zinafanya kazi ipasavyo na wewe ni mwanaume wa kiafrika kweli?
7- kama jibu kwenye swali la 6 hapo juu ni NDIYO...nadhani hapa usingekuja kiomba ushauri bali ungekuja kutoa USHUHUDA on how to kick a BAD-ASS B#%$$ITHC.
8- je haudhani kama ndio muda muafaka wa wewe kufanya mawasiliano na mods ili aifute mada yako hii coz sioni na sidhani na kuamini kama ina-tija kwa taifa na ukichukulia kuwa wewe ni msomi tena uleyechukuwa elimu yako nje ya nchi na sio hapa ndani iliyochakachuliwa.
9- je haudhani kama ni busara na kitendo cha kiumeni zaidi kufanya utekelezaji kwanza wa haya yote niliyokuuliza/elekeza kuliko kukimbilia kunijibu maswali hayo?...utekelezaji kwanza maswali baadae.
10- je haudhani kwamba haya ni maoni yangu binafsi and nothing personnel or with an intention of harming both you and ur feelings as a human being?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom