wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (chadema)..
Kimejikita zaidi kwenye vurugu na watanzania sasa wameamini maneno ya katibu mkuu wa chadema, dr slaa..
Akiapa kwa uchungu kwamba watahakikisha nchi haitawaliki.
Hata kwenye majimbo ya uchaguzi ambayo chadema imeshinda aidha ubunge au udiwani, wabunge na madiwani hao walioshinda kwa tiketi ya chadema..
Hawafanya lolote chanya la kuwaletea wananchi maendeleo badala yake wanaendesha mivutano isiyoisha wakipinga hata yasiopingika..
Wabunge wa majimbo ya kawe (halima mdee), ubungo (john mnyika). (tundu lissu) singida, (lema) arusha (wenje) mwanza..
Hawakai majimboni mwao wala hawana mpango wowote na wapiga kura wao, badala yake wamejikita kuteleza mikakati ya chadema makao makuu wanazunguka nchi nzima kuhamasisha watanzania wasigane na serikali ili hatimaye nchi isitawalike..
Huko mbeya nako moto umewaka lakini kwa staili ile ile ya watu kusigana na serikali pasipo sababu za msingi..
Mbunge wa mbeya mjini anaitwa kwa jina la sifa mr. Sugu, amepewa sifa nyingine ziada inayozidi cheo cha ubunge, anaitwa rais wa mkoa wa mbeya, je, huu sio uhaini?
upinzani wa godbless lema, na tundu lissu, dr slaa, freeman mbowe, haufai na unadhirisha wazi kwamba wahusika hawakupitia darasa la urai..
Uko wapi uzalendo wa watanzania wenzetu!
safi sana "anaitwa kwa jina ......... Amepewa sifa................. Sasa uhaini unakujaje hapo? Ni uhaini kwa sababu hajatangaza hadharani kulikataa jina hilo analoitwa na sifa alizopewa? Una mshauri ni katika hilo ili asiwe haini?