Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

Yule mc mbunge wa mtera amewafanyia nini watu wa mtera?
Kenge ikikatwa mkia inaendelea kuwa kenge tu.
 
Watanzania wenzangu tuwe makini na Chadema..

Mifano tumeona Arusha na Mbeya..

Ebu angalia Mbeya uharibifu uliofanywa na Chadema..

Wamewasha moto barabarani na kuteketeza magari ya watu, na kuharibu barabara ya urefu wa kilomita mbili.

Huku wakimtaja Mbunge Sugu kuwa Rais wa Mbeya, wanadai Mbeya ni nchi inayojitegemea
 
Chadema wengi wao ni bunch of opportunist tu ni Magamba yaliyojificha wakipewa madaraka kitatokea kama kilichotokea akina Kibaki walipotwaa madaraka kutoka KANU.
 
Hv kuna vyama vya upinzani vingapi hapa Tanzania? UDP, CHADEMA, UPDP, Jahazi Asilia, DP, CHAUSTA, TLP etc Kwa mujibu wako wewe mtoa Mada CHADEMA tu ndio ina matatizo kila siku? Au UNATAKA CHADEMA Iendeshaje shughuli zake ilizosajiliwa kwazo?

Naamini CHADEMA kama chama cha siasa ina mazuri yake na mabaya yake, ila wewe unaonyesha chuki dhahiri kwa CHADEMA.
Hii ya kwako sio Hoja ni majungu yaliyozoeleka dhidi ya CHADEMA kutoka kwa wana CCM.
 
Chadema wengi wao ni bunch of opportunist tu ni Magamba yaliyojificha wakipewa madaraka kitatokea kama kilichotokea akina Kibaki walipotwaa madaraka kutoka KANU.

Mkuu ulichoandika ndio ukweli mtupu!
 
Huyo ritz ni nanii kwani? Hana hata chembe ya haya. Na wachangiaji wengine humu JF wapimwe akili. Mtu anajitoa kimasomaso kueleza pumba akidhani anachangia. Si bure wanasema msafara wa mamba hata kenge wanajificha humo humo.

Huyu hana chochote chanya kwa CDM ila wana fujo nchi haitawaliki. Kama huna cha kuchangia chapa lapa waaachie watu wafanye mijadala ya maana. Hao uliowataja wote wana contributions nyingi tu katika majimbo/kata zao tangu wapewe fursa hiyo na wananachi.

Afanye utafiti kabla ya kufoka. Kama unafuatilia mijadala hata bungeni unbajua ni chama kipi kina vichwa au la. Wabunge wa CDM walivyotoka nje ya Bunge waliobaki kule ndani walikuwa wanajadili mswada au wanajadili watu (Lissu) na Chama? S

i bure CCM imesahau elimu kwa watu wake kwa hiyo sishangai hata ule uwiano kuwa mbunge mmoja wa CDM ni zaidi ya wabunge 20 wa CCM.

Dinosaurs pia walidhani wana akili kuliko kiumbe chochote duniani lakini wako wapi sasa?
 
Akili na hekima huwa haviambatani na ujinga na upumbavu chunguza ninayosema kama umeona ni uzee na ucameroon ni mtazamo wako but huo ndio ukweli na ndio maana vyama vya siasa makes me sick bora nikate zangu bia zangu mbili tatu maisha yaende mbele kuliko kukaa chini kumsikiliza mwanasiasa maana nasikitikia muda nitaopoteza.

sasa hapa unafanya nini?
 
Chadema kwa kweli wana watatizo mengi sana..

Wanaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi unaofanyika katika mazingira halali ya uchaguzi wakiwa wamejiandaa kukataa matokeo..

Tumeona Igunga mambo yalivyokuwa
 
Wanabodi.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)..

Kimejikita zaidi kwenye vurugu na watanzania sasa wameamini maneno ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dr Slaa..

Akiapa kwa uchungu kwamba watahakikisha nchi haitawaliki.

Hata kwenye majimbo ya uchaguzi ambayo Chadema imeshinda aidha ubunge au udiwani, wabunge na madiwani hao walioshinda kwa tiketi ya Chadema..

Hawafanya lolote chanya la kuwaletea wananchi maendeleo badala yake wanaendesha mivutano isiyoisha wakipinga hata yasiopingika..

Wabunge wa majimbo ya Kawe (Halima Mdee), Ubungo (John Mnyika). (Tundu Lissu) Singida, (Lema) Arusha (Wenje) Mwanza..

Hawakai majimboni mwao wala hawana mpango wowote na wapiga kura wao, badala yake wamejikita kuteleza mikakati ya Chadema makao makuu wanazunguka nchi nzima kuhamasisha watanzania wasigane na serikali ili hatimaye nchi isitawalike..

Huko Mbeya nako moto umewaka lakini kwa staili ile ile ya watu kusigana na serikali pasipo sababu za msingi..

Mbunge wa Mbeya mjini anaitwa kwa jina la sifa Mr. Sugu, amepewa sifa nyingine ziada inayozidi cheo cha ubunge, anaitwa Rais wa mkoa wa Mbeya, je, huu sio uhaini?

Upinzani wa Godbless Lema, na Tundu Lissu, Dr Slaa, Freeman Mbowe, haufai na unadhirisha wazi kwamba wahusika hawakupitia darasa la urai..

Uko wapi uzalendo wa Watanzania wenzetu!
Sawa mkuu nakuomba utuambie kazi ya chama cha Upinzani ni nini? - Halafu tutapima maelezo yako na ukweli uliopo.
 
Hii topic imewagusa hawa magwanda. Ila kwakuwa ni mateka wa siasa za Slaa na Mbowe ni vigumu kukuelewa nini unamaanisha.
 
Hii topic imewagusa hawa magwanda. Ila kwakuwa ni mateka wa siasa za Slaa na Mbowe ni vigumu kukuelewa nini unamaanisha.
Nimeyasoma yote yaliyoandikwa pande zote sioni hoja ya msingi...Nieleze kazi ya chama cha Upinzani kwanza kisha tuendelee maana unapima vitu kwa Usajili na majukumu walokabidhiwa..
 
Nimeyasoma yote yaliyoandikwa pande zote sioni hoja ya msingi...Nieleze kazi ya chama cha Upinzani kwanza kisha tuendelee maana unapima vitu kwa Usajili na majukumu walokabidhiwa..

Mkuu kwani kazi ya Chadema ni kufanya vurugu? Mifano mbona mingi zile fujo za Mbeya ndio kazi ya vyama vya siasa labda tuanza na hii
 
Wanabodi.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)..

Kimejikita zaidi kwenye vurugu na watanzania sasa wameamini maneno ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dr Slaa..

Akiapa kwa uchungu kwamba watahakikisha nchi haitawaliki.

Hata kwenye majimbo ya uchaguzi ambayo Chadema imeshinda aidha ubunge au udiwani, wabunge na madiwani hao walioshinda kwa tiketi ya Chadema..

Hawafanya lolote chanya la kuwaletea wananchi maendeleo badala yake wanaendesha mivutano isiyoisha wakipinga hata yasiopingika..

Wabunge wa majimbo ya Kawe (Halima Mdee), Ubungo (John Mnyika). (Tundu Lissu) Singida, (Lema) Arusha (Wenje) Mwanza..

Hawakai majimboni mwao wala hawana mpango wowote na wapiga kura wao, badala yake wamejikita kuteleza mikakati ya Chadema makao makuu wanazunguka nchi nzima kuhamasisha watanzania wasigane na serikali ili hatimaye nchi isitawalike..

Huko Mbeya nako moto umewaka lakini kwa staili ile ile ya watu kusigana na serikali pasipo sababu za msingi..

Mbunge wa Mbeya mjini anaitwa kwa jina la sifa Mr. Sugu, amepewa sifa nyingine ziada inayozidi cheo cha ubunge, anaitwa Rais wa mkoa wa Mbeya, je, huu sio uhaini?

Upinzani wa Godbless Lema, na Tundu Lissu, Dr Slaa, Freeman Mbowe, haufai na unadhirisha wazi kwamba wahusika hawakupitia darasa la urai..

Uko wapi uzalendo wa Watanzania wenzetu!
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kuchambua mambo,CCM wao wanapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom