Demokrasia = Dictatorship of the majority? we naibu speaker vipi?

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
Naibu Speaker alionekana kwenye TBC katika maongezi akiwa na Mbowe....akasema kuwa demokrasia ni DICTATORSHIP OF THE MAJORITY.

Kwa kweli demokrasia ya "dictatorship of the majority" au "tyranny of the majority" ni demokrasia ya wanyama na watu wasio wastaarab.....watu wenye akili zao, wastaarab na wenye hekima wanafahamu kuwa sio kila saa wengi wanakuwa sahihi.

Na pia, watu wastaarab huwa pia wanaangalia na kuvalue maoni ya wachache. Taifa haliundwi na watu wengi tu, linaundwa na majority + minority. Na wote wana haki ya kisikilizwa na every now and then maoni yako kutiliwa maanani.


Naibu Speaker nitafute nikufundishe vitu vichache kuhusu demokrasia.
 
hii ni phrase inayosisika na kutumika mara nyingi. Na inasema ukweli. Ukiingiza ustaarabu ni kuingiza value ambayo inatofautiana kwa kila mtu. Ustaarabu kwangu ni tofauti na kwako. Kwa hiyo system ya demokrasia haina ustaarabu ndani yake, bali ni a simple mathematical formular...the majority dictate. Kama hupendi inabidi uje na system nyingine, au ufundishe watu wajue umuhimu wa kuli-dilute bunge.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom