Dell optiplex GX 270

Khalifab

Member
Jul 6, 2012
38
2
WAKUBWA NINA MACHINE DELL OPTOPLEX GX 270 HAI DISPLAY kabisa lakini power supply inaingiza moto vizuri 2,nimesha jaribu ku change prosesa lakin tatiz bado lipo pale pale,,,,NAOMBA MSAADA
 
VGA CARD imekufa, ukibadilisha tu mwendo mdundo, mimi nina Dell Optoplex GX 520, ilikua na the same problem, sasahivi ina perform fresh
 
NGERENARO Habari ya wewe,,,,,,,thanx kwa kunifumbua maana tongotongo zilikuwa zimeanza muzee
 
kabla ya kwenda kwa vga kwanza check kama R.A.M zinapiga mzigo vizuri au tafta hata R.A.M za kuazima ujaribu kama tatyzo bado ndiyo usake hizo VGA card
 
kabla ya kwenda kwa vga kwanza check kama R.A.M zinapiga mzigo vizuri au tafta hata R.A.M za kuazima ujaribu kama tatyzo bado ndiyo usake hizo VGA card

kama ni ram ingekuwa inatoa mlio fulani wa "beep beep". mie sidhani ni vga card pia ila nahitaji more details bedore nitoe prognosis yangu
 
kama ni ram ingekuwa inatoa mlio fulani wa "beep beep". Mie sidhani ni vga card pia ila nahitaji more details bedore nitoe prognosis yangu

mie mwenzio ni mlemavu wa kusikia(deafperson) so sijui kama kuna kamlio kanatoka ila kulingana na experience yangu na hayo madude hiyo itakuwa r.a.m tu
 
wakuuu nyote mmenipa msaada mzuri 2 ila kwa RAM nakataa coz inapiga mzigo kama kawaida,,nafkir labda VGA wazee.
 
fanya hivi.. chomoa ram. sikiliza kama itatoa mlio mrefu wa beeep kumanisha hamna memory (ram check)
rudishia ram na usikilizie kama itatoa beep moja kubwa na zingine mbili au tatu ndogo yaani Beeeeep, beep, beep. ikilia hivo ndo ujue ni muda wa kununua vga card.
kama haitoi beep hata kwa dawa, ujue mobo yako imekalas
 
Back
Top Bottom