Kaka kwanza nikushukuru sana kwa moyo wako wa kupenda kuwasaidia waliotindikiwa kama mimi.Kwa wengine si lazima uandike,kama huna jinsi ya kusaidia ni bora ukanyamaza,utaonekana mstaarabu hata ni mpumbavu.Mi naishi Kahama kwa sasa ila narajia kujiunga na chuo fulani huko Moro mwezi ujao,nitakapokua huko itakwenda mitaa hiyo kupata bidhaa hiyo.ASANTE SANAMkuu betri zipo hapo KVD!Ipo mtaa wa makunganya!karibia na ile BP iliyopo nyuma ya ex-telecom samora Dar ES Salaam,sijui uko wapi kaka!