Dell Desktop: Kuuliza sio ujinga

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
797
1,264
Wakuu wa hili jukwaa poleni na majukumu,jamani kwakua mimi sio expert sana kwenye haya mambo nimeona bora niulize kabla sijachukua maamuzi yoyote ya kununua hii kitu.
Kuna mdau anataka aniuzie CPU ya DELL kwa tsh 150,000/=,anasema hii bei ni kwa vile tu ana matatizo ila bei halisi eti ni kuanzia tsh 300,000/= ...Specification alizonitajia ni hizi hapa
- Hard disc ni 500GB, RAM ni 2GB, PROCESSOR ni core i3,3.4GHz
Nishaurini wakuu je hii desktop ni nzuri??? na hii bei ya tsh 150,000/= ni sahihi au kanipiga?

N.B: nataka kuinunua hiyo desktop sana sana kwa ajili ya kucheza games , je inafaa kwa games nzito?? nawakilisha.
 
computer nzuri sana na ni sahihi bei zake ni around 300,000
Kwa sifa izo na bei hio nakushauri uichukue! ila kwa kuchezea games nzito nzito io CPU bado kabisa.

Asanteni wakuu angalau nimepata uhakika kuwa sijapigwa...Msinichoke na maswali yangu jamani, je ni nini nikifanye ili hii computer iweze kucheza game nzito?? kuna kifaa chochote naweza kukiongezea ikaperform heavy games??
 
Computer ambazo zinacheza game nzito mara nyingi uwa ni self made, hapo utaitaji vitu vifuatavyo Feni ya kupozea, graphics card kubwa mara nyingi uwa ni NVIDIA Geforce 630 mpaka 760, RAM 16GB, Processor Quad core 3-4GB au intel core i7, etc
 
i3 hio itacheza almost 90% ya games zote. kuna games chache sana zinazohitaji logic core zaidi ya nne.

hapo utahitaji gpu tu. ila kabla hujaamua gpu ya kununua itabidi uangalie power supply yako. kama ni ndogo choice yako inakuwa ni gtx 750 au 750ti hizo ndio gpu zinazotumia umeme mdogo.

na kama hujali quality ya games hivyo hivyo ilivyo utacheza games nyingi ila resolution itabidi iwe ndogo. around 640x480 au 800x600 nk hizi resolution unachagua ndani ya game pale unapoplay game likiwa slow unapunguza resolution

cheki benchmark ya gpu ya hio pc na games unazoweza kucheza. fps zikizidi 30 ndio game linachezeka

Intel HD Graphics 2000 / 100
 
Mkuu shukrani tena na tena...kuna kitu nimejifunza hapa, hivi ipi ni nafuu kati ya izo computer ambazo ni self made kwa games na playstation? na ukiachilia mbali gharama wewe kama mtaalamu utapendekeza ipi kati ya hizo choice mbili?nataka niamue jambo hapa.
 
i3 hio itacheza almost 90% ya games zote. kuna games chache sana zinazohitaji logic core zaidi ya nne.

hapo utahitaji gpu tu. ila kabla hujaamua gpu ya kununua itabidi uangalie power supply yako. kama ni ndogo choice yako inakuwa ni gtx 750 au 750ti hizo ndio gpu zinazotumia umeme mdogo.

na kama hujali quality ya games hivyo hivyo ilivyo utacheza games nyingi ila resolution itabidi iwe ndogo. around 640x480 au 800x600 nk hizi resolution unachagua ndani ya game pale unapoplay game likiwa slow unapunguza resolution

cheki benchmark ya gpu ya hio pc na games unazoweza kucheza. fps zikizidi 30 ndio game linachezeka

Intel HD Graphics 2000 / 100
Chief nimekupata vilivyo..ila naomba nifafanulie kidogo...umenambia hapo ntaitaji gpu tu,ina maana hii computer kwasasa haina gpu au?
na kuhusu kuangalia benchmark ya gpu ya hii pc naangaliaje? hapa nimekosa ufahamu chief.
 
kila processor ya intel inakuja na gpu yake wanaita intergrated graphics kifupu IGP

kutegemeana na aina ya processor ndio utajua ni gpu gani unayo. kutokana na bei na frequency ulizotaja by exprience nikajua ni i3 2130 na nikaweza tambua kuwa gpu yake ni intel hd2000.

wewe kwenye pc yako nenda sehemu ya kusearch kama ni windows 7 click start itakuja sehemu ya kusearch andika neno dxdiag then itatokea iclick utapata specs za pc.

alternative nenda my computer then right click nenda properties then nenda system rating then utaona kuna sehemu kumeandikwa print click hapo zitatokea specs za pc

ukishajua specs zako ndio unaweza google online kujua uwezo wake na kama zinaweza fanya unachotaka fanya
 
Mungu aendelee kukupa uzima na kukuzidishia moyo huo huo wa kutusaidia sisi tusiofahamu chief...saluteeee sana
 
Computer ambazo zinacheza game nzito mara nyingi uwa ni self made, hapo utaitaji vitu vifuatavyo Feni ya kupozea, graphics card kubwa mara nyingi uwa ni NVIDIA Geforce 630 mpaka 760, RAM 16GB, Processor Quad core 3-4GB au intel core i7, etc
mkuu hivi GPU y a512 mb n shingapi??
 
Wakuu wa hili jukwaa poleni na majukumu,jamani kwakua mimi sio expert sana kwenye haya mambo nimeona bora niulize kabla sijachukua maamuzi yoyote ya kununua hii kitu.
Kuna mdau anataka aniuzie CPU ya DELL kwa tsh 150,000/=,anasema hii bei ni kwa vile tu ana matatizo ila bei halisi eti ni kuanzia tsh 300,000/= ...Specification alizonitajia ni hizi hapa
- Hard disc ni 500GB, RAM ni 2GB, PROCESSOR ni core i3,3.4GHz
Nishaurini wakuu je hii desktop ni nzuri??? na hii bei ya tsh 150,000/= ni sahihi au kanipiga?

N.B: nataka kuinunua hiyo desktop sana sana kwa ajili ya kucheza games , je inafaa kwa games nzito?? nawakilisha.
Kucheza games kubwa haiwezekani hapo...

Ongeza feni, GPU kama vile Nvidia GeForce (GTX) 600 series mpaka 780i kwa kuanzia, ram atleast iwe 8gb...processor weka za core i5 kwa kuanzia 3.5Ghz...then utahitaji 1Tb ya hard disk na atleast 120gb ya SSD...ukiweza baadae badilisha motherboard iwe kubwa nayo(latest) ili iweze kusupport kila kitu.
 
mh unareplace mpaka processor,mbona sifahamu kuhusu hili.
 
Je wewe unapenda pc games au mtu wa graphics au mtu wa editing basi njoo nikuuzie mashine ya kibabe Dell precision T7400 Xeon 2.33ghz(8cpu),ram 2 gb up to 64 gb,hdd 4T,graphics card nvidia Quadro fx .....nicheck hapa 0655090000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom