WanaJF, Dell wamerahisisha huduma ya Warranty hapa hapa nchini kwa mtu yeyote ambaye amenunua Desktop PC, Laptop hata Printer ya DELL ambayo ina valid Warranty. But make sure kama umenunua nje ya nchi iwe na International Warranty na kama utanunua hapa nchini nunua kwa Appointed Dealer wa DELL.
Wana huduma mbili moja ni 4 hour service ambayo ni Premium na kuna 48 hours ambayo ni ya kawaida.
Wana huduma mbili moja ni 4 hour service ambayo ni Premium na kuna 48 hours ambayo ni ya kawaida.