Delete your facebook account

dah... Hapo moyo unasita bana

Kama vipi achana na sita, hamia tisa sababu wataalam wanasema sita iliwahi kuwa tisa miaka mingi iliyopita na baadae ikageuzwa juu chini na ndio ikawa sita. Kwa hiyo moyo wako hautasita bali moyo wako utatisa, na hapo utaweza ku-delete akaunt yako ya facebook. Pia kwa mujibu wa theory za parmutations na combinations, yaani arrangement of words (kama ulisoma hesabu utakuwa unaijuwa hii), neno sita uki-arrange ktk njia tofauti, utapata maneno tofauti 24, mojawapo ya maneno hayo ni tisa.
 
Back
Top Bottom