Degree zipi ni nzuri?

Chiya Chibi

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
484
110
Kwa Dunia ya sasa tumeona wenzetu wakisoma fan tofaut tofaut na kwa kiwango cha degree ama zaid, ili kurahisisha maisha na kupata fursa zaid, Je hapa kwetu fan zip tatu muhim mtu anaweza kuwa nazo hata kwa kiwango cha Diploma tu..?! Mfano; >Diploma in Clinical medicine (C.O)+Diploma in Bus Adm+ Diploma in Human Res & Mng. Nipe nyingne iwe ngaz ya Diploma pekee au degree, Najua ni vema kusoma fan moja mpaka kubobea zaid lakn kuwa na fan tofaut ni jambo zur pia. Nipe tatu muhum kwako, yan hiyo uliyonayo sasa na nyingine mbili uzipendazo ngaz yoyote..
 
Kwa Dunia ya sasa tumeona wenzetu wakisoma "fan" "tofaut tofaut" na kwa kiwango cha degree ama "zaid", ili kurahisisha maisha na kupata fursa "zaid", Je hapa kwetu "fan zip" tatu muhim mtu anaweza kuwa nazo hata kwa kiwango cha Diploma tu..?! Mfano; >Diploma in Clinical medicine (C.O)+Diploma in Bus Adm+ Diploma in Human Res & Mng. Nipe nyingne iwe "ngaz" ya Diploma pekee au degree, Najua ni vema kusoma fan moja mpaka kubobea "zaid lakn" kuwa na "fan tofaut" ni jambo "zur" pia. Nipe tatu "muhum" kwako, "yan" hiyo uliyonayo sasa na nyingine mbili uzipendazo "ngaz" yoyote..

Mkuu hebu check katika hizo (" ") hapo juu, ..seriously?

-Afu umesema kwenye thread title kuwa "Degree" nzuri, then unakuja tena kusema Diploma katika content yake, una maana zote/vyote ni sawa?

-afu nadhani hii uiweke jukwaa la elimu au hoja mchanganyiko mkuu..sijui kwa wengine ila siuoni "Usiasa" wake.
 
Nadhani degree ya uwaziri ni nzuri. Ama ya u kamanda mkuu wa Polisi wa Mkoa. Na pia ile ya kitengo cha mizani si mbaya.
 
hii tread hapa si mahali pake. kwa ushauri tu kila digree ni nzuri inategemea tu wapi unachanel. si unajua siku hizi ishu sio unajua ni ni bali unamjua nani?
 
degree ya kutokuwa makini na kujianzishia thread bila kujali jukwaa husika ndo degree nzuri kuliko zote.
 
Bachelor of Ufisadi in Government institutions (BUGI)!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Degree za Ch*p* ndiyo zenyewe! Kamuulize mkuu wako wa wilaya ya Korogwe! Anazijua sana hizi.
 
mimi degree nzuri ni Bachelor of Mulugo Presentation in South Africa (B.MPSA) hiyo mkuu ni mpya very marketable kwa sasa tena wahi kabla wengi hawajasoma hiyo
 
mimi degree nzuri ni Bachelor of Mulugo Presentation in South Africa (B.MPSA) hiyo mkuu ni mpya very marketable kwa sasa tena wahi kabla wengi hawajasoma hiyo

Hii ni PHD haitolewi bongo! Labda amuulize waziri aliisomea wapi?
 
Kwa Dunia ya sasa tumeona wenzetu wakisoma fan tofaut tofaut na kwa kiwango cha degree ama zaid, ili kurahisisha maisha na kupata fursa zaid, Je hapa kwetu fan zip tatu muhim mtu anaweza kuwa nazo hata kwa kiwango cha Diploma tu..?! Mfano; >Diploma in Clinical medicine (C.O)+Diploma in Bus Adm+ Diploma in Human Res & Mng. Nipe nyingne iwe ngaz ya Diploma pekee au degree, Najua ni vema kusoma fan moja mpaka kubobea zaid lakn kuwa na fan tofaut ni jambo zur pia. Nipe tatu muhum kwako, yan hiyo uliyonayo sasa na nyingine mbili uzipendazo ngaz yoyote..

Specialized knowledge and General knowlege,

"Specialized knowledge will be helpful if organized into definite plans!!" Napolean ..kwa hiyo kaka kama umeshindwa kuoganaizi degree moja!! ok ongeza hiyo ya pili na ya tatu.. sijui itakuwaje kama zote utashindwa kuoganizi!!!!
 
Following are the top 20 highest paying college degrees, ranked by average mid-career earnings:

Petroleum engineering $155,000
Chemical engineering $109,000
Electrical engineering $103,000
Material science & engineering $103,000
Aerospace engineering $102,000
Physics $101,000
Applied mathematics $98,600
Computer engineering $101,000
Nuclear engineering $97,800
Biomedical engineering $97,800
Economics $94,700
Mechanical engineering $94,500
Statistics $93,800
Industrial engineering $93,100
Civil engineering $90,200
Mathematics $89,900
Environmental engineering $88,600
Management Information Systems $88,200
Software engineering $87,800
Finance $87,300

Source:
PayScale (2011-2012)
 
za chupi zinalaumiwa sana siku hizi, za boxer zitakuwa zinalipa sasa
 
Mwanangu huwa sitoe mawazo kwa watu wasiotaka kufikiri na kuwaachia wenzao wawatafunie ili wao wameze. Namna hii mnakwamisha taifa letu. Try to think even in squiggles bwana mdogo.
 
Post zinazorespond post yako inakujulisha kuwa hakuna degree nzuri wala nini, suala sio degree, swala katika Tanzania hii ni nani anakujua. Wamekuonyesha kwamba hao wenye degree nzuri na kazi za maana wenyewe wanachemka. Mtu anapewa position asiyoisomea. hakuna usawa hapa kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom