Ulinichukulia kadi ya CHADEMA ama kunipa kambi humo?
Yaani mapungufu yakisemwa basi ishakuwa masuala ya makambi. Acheni kulazimisha siasa za fikra na mawazo mgando.....
Ili kuendelea ni wajibu kuwepo na mitizamo na fikra tofauti na mapungufu na hata mafanikiwa kusemwa wazi bila ya uzandiki, ukada na hata unafiki...
Tanzanianjema itajengwa na Utanzania na sio ukada.....na ushabiki wa kimakundi uliojaa unafiki
omarilyas
Siyo ukada, tokea mwanzo michango yako tokea uchaguzi ni mtu wa kulaumulaumu Uongozi wa CHADEMA na ndo maana niliposoma maoni yako hapo juu nikajua bado unaendelea na hayo ya nyuma badala ya kujenga.