Deeper than rap

Kwa wale wanaodhani siasa na music or film haviendani, check this out and tell me these are coincidences....

Kabla sijaangusha haya, unajua personally nilikuwa namfikiria Obama na issue za ujamaa way before election, toka kabla ya hawa kina Glen Beck, Rush Limbaugh hawajaanza kum-accuse....nilikuwa nawaambia watu sitashangaa siku nikisikia Obama anajua Kiswahili (by the way, what's the posibility of that?). Nikawa nakumbuka maneno ya Mwalimu, 'let's run while they walk', nikawa nafikirikia, kuna maana gani nyingine zaidi ia ile iliyotumika wakati ule, maybe I'm just reaching? Lakini kuwaona Dead Prez wakiperform Dar (wame-mention Tanzania kwenye track yao ya 'Africa Hot'), na kumsikia Nas anaangusha kiswahili kwenye track na Damian Marley kunaleta signal kwenye radar yangu.

Anyway, nikirudi nilichotaka kusema mwanzo, kuna town hall meeting moja wakati wa campaign Obama alikuwa anapinga hoja moja ya either Bush or McCain (bahati mbaya sikumbuki hata ilikuwa lini kwa hiyo itakuwa ngumu kuisearch), akadai 'not only it ain't right, it isn't right'.....well, that's not a big deal, lakini ukiangalia movie ya Head Of State ambayo Chris Rock aliact kama black presidential candidate, alitumia exactly same sentence wakati wa campaign yake (pia Bernie Mac alikuwepo kwenye movie na kwenye campaign ya Obama).

Movie nyingine ni Training Day. Kama unajua history ya black actors in hollywood, movie kama hii lazima itakuinterest sana kwa sababu ya story yenyewe na position ya Denzel kwenye hii movie. I mean a black man is outsmarting a white guy from the very first scene (a white A-List actor for that matter) like that, you gotta pay attention. Kitu kingine nilichonotice ni watu wa ethnic tofauti tofauti, kuanzia russians, black, white, latino. Na wote kwa pamoja wako katika center ya story, na ukiondoa race yoyote kati ya hiyo katika hii movie, you don't have a training day! Ok, any message behind this movie?
 
Unajua, imagination ni ngumu sana kama hauna symbol unayoweza kutumia kukuinspire, nadhani kama kuna wasanii watakubaliana na mimi. Kuna wanaotumia mazingira yanayowazunguka, story za familia/marafiki n.k. Sometimes msanii huyo anaweza kucreate an art form, iwe ni muziki, filamu, painting/drawing, poetry etc tofauti kabisa kiasi kwamba ni ngumu sana hata kutrace original inspiration. Nadhani alikuwa Picasso aliyesema 'There is no abstract art. You have to start with something, afterward you can remove all traces of reality.'

Nikirudi kwenye Training Day, kuna scene ambayo Denzel anajaribu kumshawishi Ethan Hawke to take responsibility for the killing, then anamwambia 'you gotta change the system from the inside'....vilevile, anamwambia kwamba jamaa ni justifiable kuuawa kwa sababu he used to sell drugs to kids for years and now he got him....hayo maneno ni rahisi kuyasikia kwa black man yoyote mwenye sense ya history akiwa anaiongelea serikali ya marekani, especially in the 70s (check my avatar!).

To make things even more interesting, kulikuwa na wimbo wa 2Pac unaitwa 'letter to the president' kwenye movie, a very strong song, naurecommend mkausikilize (jiulize huu wimbo unafanya nini kwenye movie yenye story kama hii). Mwimbo unaanza kama hivi:

Uhh.. dear Mr. President
Whas happenin?
I'm writin you because, shit is still real
fucked up in my neighborhood
Pretty much the same way, right around
the time when you got elected
Ain't nothin changed
All the promises you made, before you got elected..
.. they ain't came true


Another interesting song kwenye hii movie ni ya Puffy, Black Rob, Loon, Kain na Mark Curry, the song is kinda political. Angalia hizi verse mbili:

[P. Diddy]
Land where my father died, land where my children cried
Come on, America, ain't no barriers
Free the strings, let's see how freedom rings
One nation all gettin' down for the dollars
And the heat is gettin' hotter
But a lot don't understand
Just the way some plan to break you
I done seen the whole thing go straight through
Hungry for it, I'ma make you
Pay back what's due to me
Everybody gonna see, look what they put upon me
Made me a monster, two steps beyond ya
More streets to wonder
For which it stands for cause let's get it
Cause I'ma get mine for damn sure, come on

[Kain]
Now why can't I breathe with a gun and come free
If six dead people run this country
Now they come cause my crew's too large
Who the https://jamii.app/JFUserGuide put chu' in charge
Runnin' around here like you is God
Then they wonder why the shootin' starts
Gettin' checks with half my stacks
I forgot George Bush wrote half my raps
Murderin' people for blastin' facts
Then blamin' other cats for their tragic acts
I'm tryin' to get paid till my eyes is closin'
Cops is like freeze and I'm already frozen
So they clap and they brawl in hysteria
Tappin' Jackson callin' this area
Green gots cats crawlin' to bury ya
Don't blame Kain for the fall of America


By the way, hii soundtrack ya hii movie ilikuwa released same day na Blueprint ya Jay-Z...unaona ninapoelekea?
 
Kwa upande wa comedy, ni hivyo hivyo. Wengi mtakuwa mnajua comedies za chris tucker na eddie murphy za black president (nadhani ya eddie murphy ilikuwa wakati rev. jesse jackson anarun)......lakini what about dave chappelle na katt williams?

Kwenye moja ya stand-up film zake (nikikumbuka nitaendit), Katt alitoa joke kuhusu china, I found that interesting. Alisema, marekani ikianza vita na china, weusi hawataisupport kwa sababu fried rice zao si mchezo na kila kitu kwenye nyumba zao ni vya china! Haudhani that's interesting ukiangalia what's going on kati ya africa na china sasa hivi? Vilevile Dave Chappelle (jamaa ni very intelligent, na mama yake alikuwa congo wakati lumumba anauawa)....alipokwenda south africa, nadhani wengi walimiss point (na yeye alijua kabla reaction itakayokuja wakisikia yupo africa). Theory yangu ni kwamba jamaa alikuwa anacheza na akili za whites kwa kuwaambia I can walk away from all this and go chill in AFRICA.....I might be thinking too much, lakini naamini that was his intention.

Movie nyingine iliyoattract my attention, lakini nitakuwa wa kwanza kusema that was most likely a coincidence, ni nyingine ya Denzel Washington inaitwa 'Ricochet' ilitoka 1991. Mwanzo wa movie, Denzel character anajaribu kupata date na mwanamke mmoja, baada ya kutoka kwenye game ya basketball, Denzel anasema yupo law school na kwamba anataka kuwa the first black president....sounds like obama's story to me....halafu nimenotice, alikuja kutumia street guys kumkamata mbaya wake....najaribu kutrace back the inspiration behind that!
 
Nikirudi kwa Dead Prez, hawa jamaa walirelease wimbo mmoja kabla tu ya election, unaitwa PolitriKKKs, wakiwa wanaongelea jinsi gani hata Obama akishinda, hamna kitakachobadilika. Miwisho wakamsample Malcolm X (speech ambayo inasound kama imesemwa leo). Miezi michache baada tu ya uchaguzi, number 2 wa al qaeda alimfananisha Obama na house negro, nikafikiria that's interesting nikikumbuka huu wimbo na pia the fact kwamba Malcolm X aliongelea kuhusu house negro vs field negro.....something to think about. Najua naweza kuwa nawachanganya but this art of war is still unknown! What was also interesting, ni kwamba Obama alitumia maneno Malcolm X kwenye campaign, ingawa ilipita chini ya radar.

http://www.huffingtonpost.com/2008/01/28/obamas-stump-lines-echo-_n_83560.html

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=nXxUsjnCTMs[/ame]
 
Kwa wanaofuatilia hii thread, nisije kuwapasua vichwa, ngoja niishie hapo kwa leo! Sijui mna maoni gani.
 
KRS-One, anayejulikana vilevile kama 'The Teacha' alirelease album inayoitwa 'Ghetto Music: The Blueprint of Hip Hop'. mwaka 1989, halafu akaja kurelease album nyingine inayoitwa 'The Sneak Attack' mwezi April, 2001. Kama wengi mnavyojua, Jay-Z alikuja kurelease album yake ya Blueprint September 11, 2001 (official release date nadhani ilikuwa siku kadhaa kabla lakini 'kwa sababu ya leak' ikawahishwa). Kuna wanaosema Jay-Z alichukua title hiyo kutoka kwa KRS-One lakini hiyo nitaachia hapo.

Tukirudi kwenye hiyo verse ya Jay-Z, nikisikiliza hiyo verse (futuristic rap kama Jay-Z alivyoita muziki wake kwenye 'Can I Get A....') mimi nafikiria wanajeshi wale wa marekani waliopo Afghanistan au Iraq, 18, 19 year olds, wanapigana na majihadi.....ok, ilikuwa a Hip Hop battle, Jay-Z, Mobb Deep na Nas.....lakini what if it's deeper that rap?


Confirmed, KRS-One aongelea Jay-Z kuchukua title ya album yake.
http://www.sohh.com/2010/01/krs-one_on_jay-z_borrowing_his_steez_tha.html

http://www.sohh.com/2010/01/krs-one_on_jay-z_borrowing_his_steez_tha.html
 
Mkuu hii thread tamu saana , fanya Kama unaendelea pale ulipo ishia.
Uliongea madini saana kwenye huu uzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom