Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,277
- 4,682
Mkuu FMES,
makala yako ni painful truth,imenifikirisha sana na kuutambua ukweli huu.Hata hivyo mimi bado nina imani kwamba watu hawa watagombana tu na wananchi tutashinda.Hii ni kwa sababu kundi la Lowassa na majambazi weznie wameungana kulinda maslahi yao ila individually kila mmoja ana lake (friendship for convenience) hii maana yake ni kuwa tuassume wakifanikiwa kummaliza Muungwana wao pia watasambaratishana kwani presently their common "enemy" is Muungwana.Lakini miongoni mwao wana visasi,mf. ni Rostam ndiye aliyeongoza kampeni ya kumchafua Mkapa baada tu ya 2005 na sidhani kama Mkapa was happy with that.Hivyo itakuwa ni swala lile lile la ugomvi wa mtandao wa Kikwete kujirudia.Kifupi ni kuwa kuna mtandao mpya ambao haumhusishi Kikwete tena.Lakini watu hawa watatumia nguvu gani kummaliza Kikwete bdaaya kumjenga sana mwaka 2005?
Pili what's the role of Mizengo Pinda in all this?Maana katika analysis yote sioni akitajwa yuko na kina nani.The same for Warioba,Shein,Salim A. Salim and others...siamini kuwa wote hawa watakuwa pembeni tu kuona kundi la kijambazi la kina Mkapa-Lowassa-Rostam lifanye uhuni wao.
Bado ninaamini tuko katika mwendo ingawa vikwazo ni vingi.