DECI ni zaidi ya MAFISADI

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,771
59,120
Dada yangu amepoteza zaidi ya laki nane kupitia DECI ila haijaniuma kufikia ya huyu bibi maskini......_mamadeci.jpg (image)Eti kauza ndizi zake jamani visenti akawapa hawa mafisadi sasa ona kabaki kapa.Inasikitisha sana kuona mtu kama huyu kajitahidi kujipatia riziki then mwisho wa siku ana baki kama vile hakuhangaika.
_mamadeci.jpg
 
nadhani DECI ni vyema iangaliwe kwa mapana zaidi. asilimia 15 ya pesa zilizokusanywa ziripotiwa kupelekwa TRA kama kodi. Je, ni kwanini wanachama wa DECI hawazungumzii kuwa serikali ina pesa zao ambazo ''si halali'' kutokana na taarifa za BoT? Serikali ndio pekee wnye uwezo wa kuhakikisha viongozi wa DECI wanarudisha chochote kilichopo, sasa ni vyema wanachama wa DECI wakaibana zaidi serikali, ambayo ina asilimia 15 ya pesa zao.
 
Pole sana LilSun, ila ni kuwa hawakuwa wanalazimisha!
Pili ni wajibu wetu sote katika jamii kulindana na kutokuwa bize katika mambo yetu binafsi, DECI iko siku nyingi sana kila aina ya watu walishiriki na inapotokea kamba inakatikia pembamba kawaida kuna maumivu

Wakati unalia DECI mbaya kuna watu wamevuna mamilioni sijui kama watakuelewa sentensi yako--swala zima ni kama gambling

kuna watu wamejenga nyumba , wakati kuna huyo analia, huoni kama kuna haja ya kulitazama hili swala in 3D kuliko kulalia upande mmoja??

personally si-support DECI lakini inatakiwa kuwe na haja ya kuangalia ni nini kifanyike kuwaokoa hawa walioumizwa, DECI zipo kila siku kiaina ila hatupigi kelele!

ushauri wangu ni wawe wanaunda vyama vitakavyokubalika kisheria, viwe imara na endelevu hata vizazi vya hao members ili LOOP inapokatika asilie mtu

kwa kifupi DECI ni LOOP isiyoisha! wanaofaidika ni wale wa mwanzoni!
 
Najua kuwa kuna walio faidika nayo tena sana 2.....na hata waliopoteza wengine wana uwezo wakutafuta na kupata tena!Illa kuna mtu ukimwona inabidi roho ikuume ndugu!
 
Sure wanaongia mkenge kama huo, serikali inabidi iwalinde na kuzuia mambo haya mapema sana usikute kuna Polisi walikuwa wanaweka pesa DECI!!!!
 
Back
Top Bottom