Deci na kampeni za 2010

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Inasemekana deci ilianzishwa na chama kimoja chenye nguvu ili kujikusanyia fedha za kampeni.
Hayo maneno yaliyo enea mitaani sijui yana ukweli gani, lakini wahanga wa fedha za deci wanadai kuwa waziri mkuu aliwaahidi kurudishiwa pesa zao baada ya miezi sita, lakini hadi leo hamna aliyerudishiwa fedha hizo. Pia hata muendelezo wa kesi yao haueleweki kwani kuko kimya.
Je wewe unafahamu nini?
 
Back
Top Bottom