December here we come!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Kwa wale wenzangu na mie ambao hatukua tunaweka akiba tangu january inakulaje kwetuuu!! maana ukisema kamshahara hako ka december kanako wahi kama nini ndo ukamaliziea kwa bata zote za december..utaliaje January!!

........... ukute kwa bahati nzuri na kodi nayo imeishia december..hehee
 

Attachments

  • pimngiiiiiiiiiiiiiiii.bmp
    408 KB · Views: 43
Back
Top Bottom