Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
Hahahahaaaa Marytina bana, let mdada wa watu apumzike bana. She did absolutely nothing wrong and got harassed for it by some low-life thugs.
But it is quite easy to cut across all three. Be myself, dress to please men and still be appropriate for a female 'audience'.
kwa kweli navaa vyote vyote tu, ila mostly feminine nikitokaSo Mwali, I got a question for you. What's your sense of style? Tomboyish? Girly-girlish? A cross between the two?
Dush.. swali zuri hili si jambo la ajabu kumkuta mwenza wako kakaa kwenye dressing table kwa nusu saa, sasa hapo inabidi ujiulize "Who is she tryin to attract"? me or someone else?
Well said we dress for ourselves! halelujah...sometimes it helps build up some confidence in us.women dress for themselves....
Wanawake sometimes tuna criticize au kusifia wenzetu sababu we value appearance ya mtu than U men! We tend to notice beauty, fashion and designs n etc.. But it doesnt mean we're actually competing with each other..
wanawake wengi tunavaa kile ambacho tumeona mwanamke mwenzetu kavaa akapendeza au kimemfanya aonekane yuko juu.
Hapa namanisha kwamba yaani wadada hasa wa mjini(sio wote) wakiona mdada fulani anapiga sana pamba za ghali mfano viatu vya christian loubotin maarufu kama cl au loubs basi na yeye atahangaika avipate bila kujua mwenzake anapata wapi uwezo wa kuvaa vitu vya gharama kitu ambacho wengi wao wanaishia kuvaa mifake kutoka china maana ukweli ni kwamba ni wadada wachache sana bongo wanaovaa genuine designer pieces.
Vinguo vingi wadada wa mjini wanavyovaa ni kwa sababu wameona wadada wenzao wenye majina makubwa wanavaa na wao wanatafuta wavae bila kujali wamependeza au hawajapendeza,wengine hii kuiga iga wenzao wanajikuta wanatokea vituko ile mbaya ila ndo huwaambii kitu sbb ni style ambazo kila dada mjanja anavaa.
Kwa hiyo mim naweza kusema kwamba ni kweli asilimia kubwa ya wanawake tunavaa kwa ajili ya wanawake wenzetu.
Ila kuna wakati wanawake wanavaa kwa ajili ya kuseek male attention.
Mim binafsi napenda kuvaa vitu ambavyo vinanipendeza,vyenye heshima na vyenye kufanya kina kaka wakodoe macho ya ku appreciate.
Navaa nisitiri mwili wangu (kiaina)
Navaa nipendeze
Navaa wanaume wanione
Navaa wanawake wanione
Navaa kila mtu aone nilicho vaa ...
Hamna cha ku debate. Very straight forward
Tunavaa kwa kujisitiri na kila mtu aone fashion
Uipendayo simple and clear ..
Speaker is banned??? :A S 13: