DEBATE: maswaibu yasababishwao na wanawake nguli wazungusha viuno.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
kunako mechi pevu ya kitandani utalaamu ni mhimu.
leo nataka tujadili matokeo na umuhimu wa kuzungusha viuno kwa wanawake.
lakini zaidi ni kwamba ni ajabu leo nimekutana na jamaa analalamika kuwa amekutana na mwanamke hajawahi ona,jamaa amepelekwa putaputa kwa mauno mpaka jamaa akawaa anafikiria kuukimbia mziki.
anasema ndo harudii tena na mapenzi ndo yameishia leo,kachoka mbaya.
najua wapo wanatulia tuli(hawa si walengwa hapa),wapo wanaozungusha viuno kawaida(hawa ndo nadhani niko familiar nao) na wale wanaozungusha viuno kama wapo olympic kushindania ubingwa(ndo kama aliyekutana nae jamaa.)
JE MAUNO YANAWEZA KUMTOA MWANAUME ULIMI NA HATA AKAONDOKA NDUKI kwa maswaibu ya kiuno cha mwanamke.
bado sijaamini kama naweza kuomba pooh kwenye game kwa wale wazungusha viuno nguli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom