Dear WEWE........

Preta wa moyoni na akilini mwangu sio huyo unayemfikiria, we umemwona wapi wkt ninaye hapa pembeni yangu?
kumbe Pureta ndo wifi yetu,........ Preta bwela bwela, bwela bwela dadaaaaaa, wamganili wamwene dadaaaa ukotokayi kuvemba dadaaaaa......
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaa, mlongo wangu hata hapo umetoka kapa? mtangitila (msaidie) muyako moto2012 wakoto kumtola kwali ndo wifi yetu mwenyewe Pureta huyo, ne nimanyi lepi

ila pureta mwenyewe kuchenjela kweli!ahahahahhahaha hapa natafuta mengine kwa moto2012 atakuja na kile cha ndaniiiiiii ah!penye hapa kota kunileka na mwene mlongo wangu?ah mpaka naumbuka hivi jamani!
 
Last edited by a moderator:
kumbe Pureta ndo wifi yetu,........ Preta bwela bwela, bwela bwela dadaaaaaa, wamganili wamwene dadaaaa ukotokayi kuvemba dadaaaaa......

ahhhahahhahhahhahhhahahahaha FP umenikumbusha mbali kweli ,kwenye harusi ya baba zangu wadogo mi ndo nilikuwa naweka chumvi kwenye chakula siku ya kutelekesa kamwali!ahahahha bwela bwela ah mngana wako yoyoyo daada aha daada ah ahahah!
 
Last edited by a moderator:
fabinyo;4730724]wapi Mtambuzi?[/QUOTE@mtambuzi katangaza ndoa huko chit chat ametolewa dima,sijui kajichimbia wapi!ah mi staki zile za Mtambuzi za ununio ,sijui temeke mikoroshoni ah wapi![/QUOTE]

hahahaaa!!ila jamaaa hadithi zake ndefu bana!!poa
 
ahhhahahhahhahhahhhahahahaha FP umenikumbusha mbali kweli ,kwenye harusi ya baba zangu wadogo mi ndo nilikuwa naweka chumvi kwenye chakula siku ya kutelekesa kamwali!ahahahha bwela bwela ah mngana wako yoyoyo daada aha daada ah ahahah!

Haahahahahahhah! Asanteni kwa kunikumbusha nyumbani,
 
ila pureta mwenyewe kuchenjela kweli!ahahahahhahaha hapa natafuta mengine kwa moto2012 atakuja na kile cha ndaniiiiiii ah!penye hapa kota kunileka na mwene mlongo wangu?ah mpaka naumbuka hivi jamani!
tivi tawoha mlongo wangu, nikuleka lepa. te titama nu, ngati achenjili sana shauri yake mwenyewe
 
tivi tawoha mlongo wangu, nikuleka lepa. te titama nu, ngati achenjili sana shauri yake mwenyewe

Achenji pamulomo tu! Mgati ivya nuuuuh, ilongela mboli mboli kweli, kya atulii ngati manji gatamii mukihulu, ne nimgani sana! Nipati mdala, heshima yoyo!! Bwela kunyumba umuwona mlamu waku!! Ne mbwitu kumjova mlamu winu
 
ahhhahahhahhahhahhhahahahaha FP umenikumbusha mbali kweli ,kwenye harusi ya baba zangu wadogo mi ndo nilikuwa naweka chumvi kwenye chakula siku ya kutelekesa kamwali!ahahahha bwela bwela ah mngana wako yoyoyo daada aha daada ah ahahah!
ha haaaaaaaaaaa, hivi siku hizi bado wanatelekesa?
 
Achenji pamulomo tu! Mgati ivya nuuuuh, ilongela mboli mboli kweli, kya atulii ngati manji gatamii mukihulu, ne nimgani sana! Nipati mdala, heshima yoyo!! Bwela kunyumba umuwona mlamu waku!! Ne mbwitu kumjova mlamu winu
pepayi mlongo wetu yati timjova he kangi. ngati umuwona ifala mgegayi tuu. si umanyili walongo wako cha tiganili walamu? yati ifaidi kweli. yati nibwela kunyumba yako, linda hoti nitayarishayi lijamanda langu na nguku yati nikupela taarifa.
mlongo wangu snowhite una lijamanda?
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu nimekipenda sana kinaitwa "Kimyakimya" Nimekipendaaaa

Basi wakati naanza kusoma novel kubwa ya kwanza ilikuwa inaitwa "Windmills of the gods" ilikuwa na page kama 300 hivi kha kazi ilikuwa kuianza but nilipoanza sikutaka kuiweka chini hata kidogo. Yaani ni kwamba wakati mwingi kuanza ndio huwa kuna tabu kwenye mambo mengi sana. "Start and put efforts to finish"
 
pepayi mlongo wetu yati timjova he kangi. ngati umuwona ifala mgegayi tuu. si umanyili walongo wako cha tiganili walamu? yati ifaidi kweli. yati nibwela kunyumba yako, linda hoti nitayarishayi lijamanda langu na nguku yati nikupela taarifa.
mlongo wangu snowhite una lijamanda?

we nalikosaje!mama angeniwekea wapi unga wa mahindi ya kuloweka wa kuendea kwa mume?
 
Ni fahari kubwa sana!!! Dunia yote ni yetu, we never fear at any body!!!Platzoom na wnzake wote chali!! Dada msimu wa masuku huu, ne nihamba!!
du! umenikumbusha masuku kaka. nilikuwa sijayala muda mrefu. Dec tukaenda home, njiani mbele ya iringa tukakutana na masuku we bwana, yaani ndo ilikuwa breakfast na lunch (tulikuwa tunatokea iringa) sasa kufika home si mnakuta mmechinjiwa lijogolo...................... tumbo liliniuma balaa kwa masuku, hata lijogolo lenyewe sikufaidi, lol
 
wapi Mtambuzi?[/QUOTE@mtambuzi katangaza ndoa huko chit chat ametolewa dima,sijui kajichimbia wapi!ah mi staki zile za Mtambuzi za ununio ,sijui temeke mikoroshoni ah wapi!

Ushahamia huku tena...!
Naomba unilindie heshima yangu katika hili Jukwaa, nimetumia miaka mingi kuweka misingi ya Kuheshimiwa na sasa unataka kuniharibia, mambo ya Chit Chart yabaki huko huko.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom