Dear mama....

Mkuu kloro yaani nimejikuta suddenly nime-fall in love na mashairi sikuwahi kuandika mashairi maishani mwangu lakini niliamini naweza na nilipojaribu kuandika nimejikuta niko in love
you must be joking! right? mistari unayoshuka halaf unasema hujawahi andika mistari. NO WAY!
 
trust me sijawahi kuandika,I was so much inspired na lile shairi lako la mapenzi(from me to you) nikasemani jaribu
 
trust me sijawahi kuandika,I was so much inspired na lile shairi lako la mapenzi(from me to you) nikasema nijaribu kuandika beti chache,lkn siku zote nimekuwa nikipenda mashairi,well sasa nimeamua nijifunze,ur guidance will be highly appreciated
 
trust me sijawahi kuandika,I was so much inspired na lile shairi lako la mapenzi(from me to you) nikasemani jaribu
So the talent was hiding inside u, sasa naomba ujiamini kwasababu uko juu vibaya sana kwenye hii fani hata nimeanza kukuogopa. Pia am glad kusikia kwamba nimekuwa part ya inspiration kwako.
 
Mkuu upo juu kinoma kwa mistari...keep in up..ila mods katubania hapa katunyima uwanja tujirushe....umekunywa soda ya Nyani Ngabu lakini? ndoja mie niimendee bila Mrija na weekend hii itakuwa si mchezo
 
yakuonea mkali nimeona malai yake si mchezo....
Yuko juu sana aisee! acha mods watupe uwanja bana! naamini wengi wana hiki kipaji humu but tatizo hatuna uwanja wa nyumbani. Acha nilog out mkuu mida za kwenda kuchukua ng'ombe malishoni zimewadia.
 
Ngabu nimemwambia wengine soda tunatumia glass bana

Mkuu upo juu kinoma kwa mistari...keep in up..ila mods katubania hapa katunyima uwanja tujirushe....umekunywa soda ya Nyani Ngabu lakini? ndoja mie niimendee bila Mrija na weekend hii itakuwa si mchezo
 
Kloro huu ufagio unaonipa sijui ni ukubali au laa..., bado najifunza na ndo maana nilimwandikia shairi twin brother wako(Asprin) Kumwambia mimi ni mwanafunzi na yeye ni mwalimu wangu, ningepata vitabu vya fasihi labda vingenishaidia zaidi, lkn huku niliko kaazi kweli kweli hakuna sehemu ninayoweza kuvipata,

Yuko juu sana aisee! acha mods watupe uwanja bana! naamini wengi wana hiki kipaji humu but tatizo hatuna uwanja wa nyumbani. Acha nilog out mkuu mida za kwenda kuchukua ng'ombe malishoni zimewadia.
 
Kloro huu ufagio unaonipa sijui ni ukubali au laa..., bado najifunza na ndo maana nilimwandikia shairi twin brother wako(Asprin) Kumwambia mimi ni mwanafunzi na yeye ni mwalimu wangu, ningepata vitabu vya fasihi labda vingenishaidia zaidi, lkn huku niliko kaazi kweli kweli hakuna sehemu ninayoweza kuvipata,

Mkuu komaa tu hamna mwenye kitabu hata sisi tunakomaa tu, kiswahili kitamu sana mzee....kungekuwa na kitabu unahani hizo nenos zingekuwa zinasomeka?
 
mkuu ng'ombe wasije kula mazao ya jirani..hahaha unanikumbusha enzi zile tuko wadogo tukienda kuchunga ng'ombe, dah siku moja walisakamia shamba la mtu, nilichapwa acha nikakimbia na kumwachia ng'ombe zote alikoma...mdingi alikuwa mbishi akamwambia anitafute ili kukwepa kulipa ng,ombe walivyokula...hahahahahaha
 
Mkuu komaa tu hamna mwenye kitabu hata sisi tunakomaa tu, kiswahili kitamu sana mzee....kungekuwa na kitabu unahani hizo nenos zingekuwa zinasomeka?

ok shukran, lkn nilikuwa nafikiria labda vitabu kama vya fasihi andishi vinaweza kunisaidia zaidi, ili niweze kutengeneza vina, mizani na kupata mtiriko mzuri wa maneno na kuweza kutengeneza maudhui yanayoeleweka
 
Tukianza kuzungumzia MAMA hakika hatuwezi kumaliza. Tunawaombe mama zetu wote popote walipo, waliopumzika mwenyezi Mungu alaze roho zao mahala pema peponi. Kwa walio hai Mungu awazidishe hekima na upendo kwa familia zao.

Tuwapende mama zetu.
 
Kloro huu ufagio unaonipa sijui ni ukubali au laa..., bado najifunza na ndo maana nilimwandikia shairi twin brother wako(Asprin) Kumwambia mimi ni mwanafunzi na yeye ni mwalimu wangu, ningepata vitabu vya fasihi labda vingenishaidia zaidi, lkn huku niliko kaazi kweli kweli hakuna sehemu ninayoweza kuvipata,
Mkuu kipaji chako ni cha asili wewe kitumie tu na kukifanyia mazoezi mwisho utajikuta wewe ndio unatunga kitabu.
 
So the talent was hiding inside u, sasa naomba ujiamini kwasababu uko juu vibaya sana kwenye hii fani hata nimeanza kukuogopa. Pia am glad kusikia kwamba nimekuwa part ya inspiration kwako.

Naona mwanisifia, tungo mwazifurahia
Mwasema ziko sawia, na tena mmeridhia
Vina mwaniambia, hakika vinatishia
Nawashukuru wenzangu, ningali najifunzia

Kutunga nilitamani, toka zama za zamani
Labda sikujiamini, ningeanzaje jamani
Leo nipo furahani, najaribu hii fani
Nawashukuru wenzangu, ningali najifunzia

Ni kweli sijakomaa, ningali ni mwanafunzi
sitokata na tamaa, nipate mwingi ujuzi
Mola nipe shufaa, ili niwe mkufunzi
Nawashukuru wenzangu, ningali najifunzia

Msaada mnipatie, enyi mliobobea
Msiniache nikimbie, bahari kuogelea
Kweli mnisaidie, tungo zisije pelea

Back
Top Bottom