Moorio
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 396
- 552
sikia mamie
hebu jaribu kuongea na mumeo ajue una tatizo gani mpenzi wangu
wakati mwingine unaweza kudhani anafanya makusudi kumbe mwenzio anajua ndo kashamaliza hapo!
mwambie kwa upendo
kwa stara za kike
kwa lugha iliyopikwa mwambie mfunulie moyo wako
mweleze utakavyojisikia akifanya hayo unayowish akufanyie
mweleze jinsi gani unamkosa na jinsi gani uwepo wake utaujaza moyo wako ulio tupu
mwambie jinsi unahitaji mengine zaidi ya hayo anayokupa
mwambie vile nafsi yako inavyomuhitaji!
funguka bidada funguka!
muhimu kufanya haya kuliko kuugulia moyoni akiwa mwelewa atakuelewa tu........:typing: