Dear Husband

Dear my lovely wife..

cant you find a new hobby to make you busy?

how about watching tv soaps more? lol

Noooo! Iwant you home by sun set, to spend some quality time with us me n your kid! And while you are here, dont be busy with your phone or football! Without u everything is BORING especialy the soaps because they remind me of how others are loved more by their husbands. UPO HAPO!!!! Mume bora wa mwaka?????
 
vacation itasaidia?
one weekend some place far away?
 
Sasa nyie watu mnalalamika hapa, si ajabu waume zenu hawayajui malalamiko yenu...mie kwa ushauri wangu mkae na waume zenu muwaeleze A to Z ya kile ambacho hakiwaridhishi katika ndoa zenu ili labda wakifanyie kazi na hivyo muanze kuridhika.

Msiwaogope waume zenu kuwaambia kile ambacho hakiwaridhishi ndani ya ndoa vinginevyo (ma)tatizo litazidi/yatazidi kuota mizizi na hivyo kuwa gumu ku(ya)litatua na matokeo ni ndoa kuvunjika au kubaki kuwa ndoa jina tu kila mtu yuko kivyake vyake.

Mkuu uko sawa kabisa. Ndoa nyingi zimekumbwa na zimwi la ''communication breakdown''. Watu hawaelezani matatizo. People fails to communicate feelings, emotions, frustrations etc mwisho wa siku hata ndoa au mahusiano yanavunjika kabisa. Unajua mwanaume anachopata nyumba ndogo ni communication na loyalty,akiwa nyumbani mama hataki kuwa loyal anaona wapo sawa,ana haki ya kuongea,kufoka na anaweza kubishana na hata kupigana masumbwi. Ndogo full unyenyekevu hakuna ubishi! Hii ni ladha halisi kunogesha ''male chauvinism'' ambayo ndo imemlea mwanaume wa kitanzania. Ni communication tu ndo inaweza kumbadilisha mwanaume huyu!
Mwanamke aliyesoma anataka mwanaume aliye loyal kwake which is against a chauvinistic upbringing. Ili kuipata hii ndio maana anaishia kwa kijana ambaye hana power ya kumpinga,anakuwa loyal and humble.
WADADA THIS IS MY MSG TO U: lazima mjue kwamba male are chauvinistic,wamelelewa kiivyo,hawawezi kuwa loyal kirahisi kama mnavyotegemea .Ni kwa mawasiliano kati ya partners ndio yanaweza kumpa somo mwanaume na kubadilika. It takes time lakini do it again and again mwishowe ataelewa.
 
vacation itasaidia?
one weekend some place far away?

Kama na wewe upo itasaidia, but WITHOUT YOU NOTHING IN THE WORLD MEANS ANYTHING!!! All the wife wants is YOU! YOU! YOU! and only YOU! Sasa unapokuwa busy ndo unafanya dunia ya mwenzio iscrumble na kupettition! Its simply YOU!!!!!
 
vacation with me off course...
hata bagamoyo tu..
 
She'll get fat; you won't like her any more

She'll not want to ****; and extra reason to DO her!

Haahaaaa! Wabonge ndo poa bwana, kama sponge vileee! Wembamba vigoko vinagongana basi full maumivu! Paja kama mfupa!!!! Mwenyewe nashindilia CHIPS YAI ZEGE ISIKAUKE, Naona tambiii limenianza afu hela gym sina! LOLEST! Koment yako yanitisha!!!!
 
'Unene' we usikie tu, sizungumzii mnene. Nazungumzia "MNENE". Usiogope lakini, I like some meat to hold, but not MNENE
 
BAK you are right; lkn tafuta post za bidada za nyuma utagundua. Mwanaume yuko busy almost muda wote sijui makusafiri mameetings nk.

Mdada anahudumiwa vizuri sana tu, lkn mume hapatikani yuko occupied na kazi pamoja na stress zinazoambatana na kazi. Of course kazi ndio inauowakeep mjini, lkn romance isipokuwepo kuna tatizo pia.

Ndio maana tunamshauri aombe ili bidada ajiadjust, au amuombe mumewe amruhusu afanye kazi (not for the money, lkn aweze kujikeep busy na kuongeza mchango wake kwa maendeleo ya society).

ur scope of mind is very wide. I like. Yaani hujanikera hasa. Thanks!
 
Last edited by a moderator:
Kama na wewe upo itasaidia, but WITHOUT YOU NOTHING IN THE WORLD MEANS ANYTHING!!! All the wife wants is YOU! YOU! YOU! and only YOU! Sasa unapokuwa busy ndo unafanya dunia ya mwenzio iscrumble na kupettition! Its simply YOU!!!!!

awesome!
 
Hakuna kitu kigumu kurekebisha kama moyo ukishaanza kuona hauriziki halafu mtu unampenda kweli!! Dah! Yani your partner is everything to you and does all the necessary BUT.......

Karucee, your husband isn't SUPERMAN, ever thought maybe it might help to make a few compromises. You can't expect him to be Mr Perfect jamani. Dude is kind, fullfils your body needs, provides for the family, and yet you complain he does't HOLD YOUR HAND!! Eksee!! Eti TEND TO YOUR PSYCHOLOGICAL NEEDS!!!
Samahani umenikumbusha mbali kidogo! I have been in that mans shoes. But isn't thiis wanting too much, HE IS A HUMAN BEING and it is very very very unfair to make him responsible for 100% of your happiness after all he is doing for you!!!
If you love him truly don't do that to him! Take control of your psychological needs YOURSELF and give the niga breathing space. He is a good man and doing his best.

Hizi love stories na soapies zinatuharibu sana!! Tujifunze kuridhika jamani!! Hizi IDEAL situations tunazoona kwa love stories na vitabu ni acting tu, you can't have it exactly like that!
 
Haahaaaa! Wabonge ndo poa bwana, kama sponge vileee! Wembamba vigoko vinagongana basi full maumivu! Paja kama mfupa!!!! Mwenyewe nashindilia CHIPS YAI ZEGE ISIKAUKE, Naona tambiii limenianza afu hela gym sina! LOLEST! Koment yako yanitisha!!!!

Kitu mnofu bhanaa,lakini uwe active. Sio ule mnofu ''unazembekaaa'' hata kuinua mguu kazi. But ukiwa active- 'mbwa kagoma' wenda, 'fungua dirisha' wenda,'manati' wenda, aaah jamani lazima mtu achanganyikiwe.
 
Kitu mnofo bhanaa,lakini uwe active. Sio ule mnovu ''unazembekaaa'' hata kuinua mguu kazi. But ukiwa active- 'mbwa kagoma' wenda, 'fungua dirisha' wenda,'manati' wenda, aaah jamani lazima mtu achanganyikiwe.

Hahahaaaaa! Ila mnofu ukizidi unaweza USI HIT TARGET!!! LOL!!! Staili kama KIFO CHA MENDE au MBWA KACHOKA unaweza usifike nadi atiiiiii! Woman on Top ndo utachoka kabisaaaaaa, na kuomba msaada. Fungua dirisha ndo ipi? Au ndo kimguu kimoja kinaninginizwa juu?
 
Thank Kaunga kwa kutoa reference ya post za Karucee za nyumba nimepitia baadhi na imenisaidia kuelewa muktadha wa post yake hii

Kusema ukweli nilipoisoma mara ya kwanza sikumwelewa kabisa ila sasa naelewa anazungumza from which experience.

Mi nadhani kuna mambo yanachangia hali aliyonayo ya UPWEKE,,,nayo ndo kwanza amepata mtoto, ni mama wa nyumbani kwa sasa, wanaishi peke yao na mume wake ni mtu wa mishe mishe

Kwa historia ya maisha yao inaonekana kuwa they used to have very good quality time pamoja kabla hawajahamia huko mbezi, ila kitu kimoja ambacho inabidi aelewe ni kuwa utu uzima unaingia na majukumu pia yanaongezeka, its like u cant eat ur cake and have it

Simaanishi kuwa mumewe hawezi kupata muda hapana ila haiwezi kuwa sawa na mwanzoni. Cha muhimu hapo sasa ni kucompromise kidogo..once in a while, mumewe anaweza kuwa anamtoa out lakini pia bibiye anaweza ku initiate hilo akamtoa yeye hopefully itasaidia

Ila kwa sasa ni muhimu akaelewa kuwa mume ndo mtafutaji na akilega lega huko familia italega lega upande mwingine....
 
Last edited by a moderator:
Dear my lovely wife..

cant you find a new hobby to make you busy?

how about watching tv soaps more? lol

you are her hobby. Its hard to let go of your hobby, Neh? Ni kama wewe uambiwe no more football. She would love to drink you, eat you, sleep you and watch you. Is that too much to ask?
 
Sasa nyie watu mnalalamika hapa, si ajabu waume zenu hawayajui malalamiko yenu...mie kwa ushauri wangu mkae na waume zenu muwaeleze A to Z ya kile ambacho hakiwaridhishi katika ndoa zenu ili labda wakifanyie kazi na hivyo muanze kuridhika.

Msiwaogope waume zenu kuwaambia kile ambacho hakiwaridhishi ndani ya ndoa vinginevyo (ma)tatizo litazidi/yatazidi kuota mizizi na hivyo kuwa gumu ku(ya)litatua na matokeo ni ndoa kuvunjika au kubaki kuwa ndoa jina tu kila mtu yuko kivyake vyake.

uoande mmoja nakubaliana na wewe....ila upande mwengine wanaume mnafikiri kununua unga , hela ya saluni na fuel ndo kumridhisha mkeo....la hasha mwanamke anaridhishwa hisia...

Ukiweza kusatisfy hisia/emotions za mkeo, walaaaahiiiiii hutosikia malalamiko......

Yako wapi yale mapenzi ya mwanzo?
Yako wapi yale mahaba ya mwanzo?
Zioe love adventures za mwanzo?

Anyway kuzungumza na mumewe pia muhimu.... Swali ni je wanapata hata muda wa kuzungumza? Au hubby anapitia nyumba ndogo (au baa na rafiki zake au popote pale, au anapiga mzigo wa haja job au buashara) analiwazwa anarudi home kachoka hata muda / hamu ya kuongea na mkewe imeisha/hana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom