Dear Chief Justice of Tanzania Hon. Mohamed Chande Othman, are you there?

Wakuu
Inabidi kwanza tumshukuru mleta hii thread! Cha kushangaza hapa kwetu, utafikiri haukuna miamba ya sheria! Inafahamika tuna wanasheria wazuri ingawa siwezi kujustify, ila ninaamini hivyo. Sasa hawa watu wako wapi? Sitoshangaa ndugu zetu wanasheria wasipotambuliwa hata na nchi za jirani kwa uozo wao wa kuweka tumbo mbele kuliko taaluma!
 
Back
Top Bottom