Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,678
Hizo brand names ulizosema zote hutengeza bidhaa za ubora huohuo labda useme iwe "fake" lakini kwa mfano HP utayoinunuwa US na hapa kwetu ubora utakuwa uleule na warranty ileile mapungufu utayapata kwenye performance kwa baadhi ya sababu nilizozitaja huko juu, hata power plugs inabidi uzibadili au utumie travellers chargers. Kwa muono wangu na uzoefu wangu wa hivi vitu, kama unanunuwa kompyuta mpya ni bora uinunue hapa hapa kwenye soko lako kutoka kwa mawakala wa hizo brands na si za kutoka US.
Kama ni used, hapo ni habari zingine kabisa. Utanunuwa za kutoka huko kwa kufata unafuu wa bei lakini si kwa ubora.
sawa kabsa wala sikatai.....umesema li li lo kweli. Na swali langu kwa bwana Njele ni kwamba ikitokea nikakuagiza laptop ntakulipa vipi na katika mazingira gani ???