DCs wapanguliwa na kustaafishwa

..nashangaa kanda2 na Chuma hawajaleta hoja zao za udini ktk teuzi hizi.

Wewe ndio mdini namba moja.Black Jesus kaanzisha thread kuwa JK rais wa mwisho muislam Tanzania umeshindwa kumkemea.kama mimi mdini wewe,Jobo na Black jesus ni nani?

Nichangie nini hapa wakati mada haihusu mambo ya dini.mara zote mimi hutoa ufafanuzi labda ufafanuzi wangu unakunyima raha, ila elewa siko hapa kukufurahisha au kukuchukiza wewe,nipo hapa kutoa maoni yangu nchi iende mbele.
N.B mara nyingi teuzi za wakuu wa wilaya huwa ni kazi ya waziri mkuu sio rais.
 
Nina swali wan JF, I thought miaka yote Waziri Mkuu nndie anayeteuwa maDC au nimekosea?

Ni kweli waziri mkuu, wale wa mwanzo waliteuliwa na Lowassa.

Mpoki.

Norman Sigalla alikuwa na PhD ya utatanishi huko nyuma sijui kaacha kuitumia? naona wamesema ni Bw.Norman badala ya DR. kama alivyokuwa akisema.aliipata ndani ya miezi miwili PhD kila mtu alikuwa akishtuka.
kuna wakati Pindi Chana nae alikuwa anasema anasoma PhD Mzumbe wakati muda wote yuko Bungeni.
 
Wakuu kwa mtindo huu tutafika? Labda kwa kuwa wanawakilisha politics kule wilayani so blaa blaa nyingi na si watendaji kama ilivyo kwa wakurugenzi. wa wilaya/halmashauri/manispaa. It is a shame to some of them. Anyway, as usual hatutegemei uteuzi wa maana!!! Tumeshazoea.
 
Ni kweli waziri mkuu, wale wa mwanzo waliteuliwa na Lowassa.

Mpoki.

Norman Sigalla alikuwa na PhD ya utatanishi huko nyuma sijui kaacha kuitumia? naona wamesema ni Bw.Norman badala ya DR. kama alivyokuwa akisema.aliipata ndani ya miezi miwili PhD kila mtu alikuwa akishtuka.
kuna wakati Pindi Chana nae alikuwa anasema anasoma PhD Mzumbe wakati muda wote yuko Bungeni.

Swahhiba kwani Bungeni wanakaa muda gani kwa mwaka? atleast Mr Chana anasoma uni inayoeleweka, kuna kaka mmoja akiwa waziri wa sayansi na elimu ya juu enzi hizo alikua asoma law out siku ya siku badala awe mfano bora akapelekewa mtihani kufanyia ofisini kwake, sasa hivi mhh anagonga mihuri na kuandaa mikataba kama wakili
 
Wapi Betty Mkwasa, wahabari na ukuu wa wilaya, kazi ipo!

JK Hawezi kuwatupa wanahabari,analipa fadhila,lakini yote tisa,kumi kinyang'anyiro 2010,manake hata wao mafisadi wametengezeana vitanzi kwa wananchi, sijui itakuwaje maana sipati PICHA !
 
Wakina Mnali hawamo wamewekwa akina Makamba,Zitto na Rostam kwa Tabia ya kujikomba,ufisadi na kulewa fedha za mafisadi.
 
jamani huyu Husna Mwilima ambaye ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa UWT aliyekuwa mkuu wa wilaya ya hai ni nani? nani ana data zake atumwagie tumfahamu vizuri.
 
Back
Top Bottom