DCOM exploit

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,235
530
Sina hakika imeanza kutokana na nini hasa ila tangu juzi nimeanza kutumia Apple´s Safari browser, na kila wakati napata ujumbe toka kwa anti-vir yangu avast free (ver 5.1.889) ina-detect kuwa kuna 'DCOM exploit' inayotoka kwenye http://172.37.39.70:135/tcp

Niki-gugol napa maelekezo kutoka hapa How to disable DCOM support in Windows kwa kui-disable itakuwa si vizuri, niko njia panda!

Nipo hatarini?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom