DCM ZINAUZWA - zipo tatu kila moja mill 18

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Zinabeba abiria 31 kila moja. zinafanya kazi route za tabata kimanga posta. zipo tatu, kila moja inauzwa miliioni 18. kwa mawasiliano piga 0719 473879 au 0763 894508.
 
14mil nakupa Cash kesho kama ntaridhika Na mojawapo
 
14mil nakupa Cash kesho kama ntaridhika Na mojawapo

unaweza kuziona jumapili kesho zinakuwa service. utanipigia simu au kuni text maana nitakuwa safarini ila nitakupa mtu ukazione. kwa mwenye mil 10 haiwezekani kabisa.
 
Back
Top Bottom