DCI Manumba azungumza na KLHN/Cheche

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
Jipatie nakala yako kwenye KLHN News. Tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na DCI Manumba vile vile kuhusu suala la SMS za vitisho. Jipatie nakala yako HAPA. Ukitaka nakala kwenye mailbox yako ya intaneti fuata maelekezo kwenye kijarida.

toleo7_phixr.jpg
 
Attachments

  • TOLEOJIPYA7.pdf
    631.3 KB · Views: 144
Mmmhhh!!! Mwanakijiji hiyo picha ya mtu anataka kuchomwa moto? Nimeacha hata kuangalia hicho kijigazeti. Hata kama ni mwizi, hatutakiwi kwenda njia hiyo!
 
Mmmhhh!!! Mwanakijiji hiyo picha ya mtu anataka kuchomwa moto? Nimeacha hata kuangalia hicho kijigazeti. Hata kama ni mwizi, hatutakiwi kwenda njia hiyo!

njia ya kuweka kwenye kijigazeti au njia ya kuchoma moto watu?
 
Hatutakiwi kuchoma moto watu.

Nakubaliana na wewe kabisa, lakini kwanini tunafikia mahali kumchoma mtu moto kwa kukwapua? Adhabu kama hiyo inaendana kweli na kosa lenyewe? Na hawa wanaotoa tuhuma (wanaolia mwizi) na ambao ndio wanaotoa hukumu (achomwe moto) na ambao wanatekeleza hukumu hiyo (kuweka matairi na kuni shingoni) kwanini jamii inawavumilia? Sijasikia hata siku moja kuwa fulani ame/wamekamatwa kwa kumchoma mtu aliyedaiwa kuwa ni kibaka?
 
Tena wanaoongoza kuchoma moto wenzao si ajabu na wao ni wezi au ni mafisadi.

Afrika tumezidi unyama unyama, huwa najiuliza vitendo vyote vya kikatili hivi vinatoka wapi?

Ule UBUNDU wa Desmon Tutu umeishia wapi? Unachoma mtu kwasababu kaiba saa au simu, huku sisi wenyewe tunakwapua maofisini mwetu, tunaua mashirika, tunafanya vitendo vya kifisadi nk. je tuna haki gani hata ya kuchukua kiberiti?

Nakubaliana na Nyani, Miafrika ndivyo ilivyo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom