Dci: Director of cementing information

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Kufuatia kauli tata ndani ya jeshi la polisi Tanzania nimeingiwa na wasiwasi sana na dhana halisi ya cheo cha D.C.I. Mr. Manumba anaonekana bila kificho kuitumikia siasa na si kufanya kazi kama DIRECTOR OF CRIMINAL INVESTIGATION. Badala yake amekuwa akifunika funika mambo. Ona sasa Dr. Mwakyembe alitoa taarifa akiainisha njia mbalimbali zinazopangwa kumdhuru tena ni D.C.I. huyu huyu alitakiwa sana kutujuza sisi raia investigations zake zimefikia wapi kabla hata Dr. Mwakyembe hajaanza kuugua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom