Dci aibu yako hii!

laigwenan

JF-Expert Member
Apr 13, 2012
325
79
Huyu ndiye Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai inchini anaitwa Cp.Robert Manumba,Anaeleza kuwa Dr.Mwakyembe hakupewa sumu,mh.Sitta akasisitiza lakini wapi!!! Vilikutwa vinasa sauti kwenye chumba cha dk. Slaa habari yake ikaishia gizani,Mauaji ya watu huko Arusha thidi ya polisi kimya! Mh.Mrema alifichua Mauaji ya wachimba madini huko Arusha habari yake ikatupwa kapuni! Hivi Dci kama hali ndio hii tuambie unapeleleza nini!
 
bado wanachunguza waje na mpango mwendelevu na wenye mkakati wakutokomeza kabisa........ukimuuliza atakwambia hivyo
 
Back
Top Bottom