DC watateuliwa lini jamani? Wilaya yetu haina dira RC mgeni, MKOA MPYA,WILAYA MPYA!

Hawana lolote la kutufaa hawa mabwege!

Nafikiri upinzani ukichukua nchi uanze na hivi vyeo vya kugawiana! Kazi za RC na DC zinaweza kufanywa vizuri kabisa na RAS na DEDs. Period!!! Mara nyingi wanashiriki kugandamiza haki za wanyonge! DC wa kwetu anashiriki kwenye rushwa tu na wawekezaji kwenye Game Reserves hana msaada!
 
Back
Top Bottom