Dc wanging'ombe apingana na maamzi ya rais

Mngendalyasota

Senior Member
Jan 22, 2011
171
48
WanaJF
Mgogolo mkubwa umetokea kati ya DC Estelina KIlasi na wananchi wa wilaya mpya ya Wanging'ombe baada ya yeye kutaka ujenzi wa makao makuu ya wilaya yawe Mdandu na siyo Igwachanya kama ilivyotangazwa na serikali. Sababu anayotoa ni kwamba Igwachanya hakuna ofisi za kutosha kwa wafanyakazi wa halmashauri kwa sasa. Kimsingi jambo hili limewaudhi wananchi wengi waliokuwa wanaunga mkono uwepo wa makao makuu Igwachanya kwa kuwa ni katikati ya wilaya hii mpya.
 
Hiyo nayo kali, niliona wananchi wa Igwachanya wakiandaa miundo mbinu mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya makao ya wilaya, sasa yeye alitegemea akute majengo toka wapi tena!! ajenge ndilo jukumu lake kuu kwa sasa anaweza akakaa huko mdandu wakati anajenga Igwachanya, kwa sababu si mbali ki hivyo. Ama naye ni mpya, awaulize wenzake walikuwa wanafanyia kazi za kiwilaya kwenye ofisi ya mtendaji kata. Kuanzisha wilaya kazi,
 
Kwa kuwa aliemteua ni dahifu ndio maana anampinga,na kama vipi njia ni moja tu people's power hiyo haishindwi kama mkidhamiria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom