DC wa Igunga atabiri ushindi kwa CCM -- hii imekaaje?

natamani nimkamate huyo mama kwa mikono yangu nimcharaze bakora sita ili aache ujinga wake
 
Mimi nahisi huyo DC amekuwa kama mtabiri TAMBITAMBI, na ana haki za kushabikia chama kilichompa ulaji, ila ajabu ni kwamba hajui hata tofautikati ya KITAMBI NA MIMBA
 
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Kuwa shabiki au mwanachama chochote ruksa lakini sio kufanya kampeni.
 
MAGAMBA watu wenye akili na ambao hawamo kwenye payroll yenu wamewachoka, mnatia kinyaa mpaka mmepoteza credibility hata watu wa nje wana waweakleak thats shame. Hata mteteee vipi watu wako well informed na udhalimu wenu, siku itafika tu watu watadai haki yao maana mwadhani mpo salama sana. Hakuna amani iwapo watu wanadhulumiwa mchana bali ni hasira zilizoahirishwa mpaka zitakapopta kuwa triggered. Ole wenu naseam ole wenu magamba maana shetani anawatumia sana kuharibu hili taifa. watu wanalia wanalia sana sana,
 
Kwakuwa wewe mwenye gpa ya 4.0 sio mvivu wa kusoma, ni katiba ipi ya Tanzania inayowatambua ma dc na ma rc? Ibara ya ngapi?

Umenena Ndugu yangu.

Inaelekea kuwa Tanzania tunajiendesha hovyo hovyo tu. Katiba ya Jamahuri ya Muungano inatambua kuwapo kwa Mkuu wa Mkoa ibara 61.-(1), lakini haitambui kuwapo kwa Mkuu wa Wilaya kwa kutotamka kuwepo kwake. Hivyo Wakuu wa Wilaya wanafanya kazi kinyume cha katiba na nadhanis kesi hii inaweza kuchochea kesi ya kikatiba ya kupinga kuwepo kwa wakuu wa wilaya katika mfumo wa uongozi wa nchi.
 
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Katiba ya JMT haitambui kuwapo kwa Mkuu wa Wialya, iweje impe haki ya kushabikia chama chochote ilhali haitambui kuwepo kwake?
 
DcC huyo keshas prove kuwa ametumwa na wasira"mbunge anayelala bungeni" kusimamia wasimamizi wasaidizi ila kachemsha jaribio lake limekwama hawezi tena rudia
 
<br />
<br />
Acha majibu mepesi mepesi kaka jibu swali uliloulizwa la kikatiba please
jamani hebu mhurumieni maana hata swali hakulielewa hiyo gpa ya 4.0 aliipataje? hata mie ambae sijasoma nilielewa swali aliloulizwa lilitokana na na maelezo yake kwamba madc wanaruhusiwa kushabikia chama chochote kama wasomi wenyewe wenye upper second wako hivi ndio maana rais wa nchi hajui kwa nini tu masikini
 
DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Acha uongo........mtumishi wa umma kama DC hapaswi kuwa mwanachama wa chama cha siasa kikatiba
 
Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye anajificha nyuma la pazia la serikali? Inafaa CDM wawasilishe malalamiko yao kwa NEC mara moja.

Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.

Wana JF,

Nime post Hoja yangu jukwaa la siasa naona imechukuwa muda kurushwa kulikoni?? Ila kimsingi ni kuwa DC kama DC analiambia nini Taifa hili au watu wa Igunga kuwa yeye ni Kada wa CCM at the same time yeye ni mtendaji wa serikali hivi hapo inakuja kweli kwa akili za kawaida tuu haiendani kwa upeo wa fikra zetu inamaa DC yeye yuko hapo Igunga au wilayani kufanya kazi za CCM na sio za wananchi na ndio maana kwenye post yangu nimeomba tupewe kiapo cha DC/RC wakiwa wanaviapa viwanja vya IKULU pindi wachaguliwapo na paadae kwenda kutumikia wananchi mnaona hapo nimesema kutumikia wananchi sija sema kuitumikia CCM.

Alafu DC anakuja anasema CCM itashinda ndio hii democrasia ya vyama vingii au bado tupo kwenye mfumo wa Chama kiomoja?? Sheria sidhani inamruhusu DC kuingilia maswala ya kampeni ingawa ni maoni yake yet alichafua uchaguzi na kutupa shaka na ndio maana wana CDM walikuwa wachungu juu yake na ana mlaumu nanini sasa kumbe alikuwa anajua ya kaisali mpe kaisali na ya Mungu Mpe Mungu
 
Pole, kumbe barua ya uchumba huwa unaandika kwa kukurupuka, ndio maana mnataka kubaka kwa sababu hamuwezi kujenga hoja.
 
Makubwa haya. Mjadala wa DC wa Igunga una bore sasa. nafikiri hii ni mbinu ya kuwatoa wanaJF na watanzania kwa ujumla kwenye mada za msingi huko Igunga. Please we have more serious isses to discuss forget about DC wa Igunga.
 
Acha uongo........mtumishi wa umma kama DC hapaswi kuwa mwanachama wa chama cha siasa kikatiba

nahisi we chizi kabisa. nape alipopelekwa huku MASASI hakuwa kada wa chama? mbona unataka uonekane mjinga kihivyo? huwezi kuwa DC/RC kama huna kadi ya CCM. ndo maana CDM katika mikakati yao, ni kuziondoa nafasi hizo na kama zitakuwepo wapatikane kwa kuchaguliwa sio kuteuliwa.

wakichaguliwa na wananchi watafanya kazi wakiwajibika kwa wananzengo wenyewe tofauti na sasa wanapowajibika kwa CCM
 

nahisi we
kabisa. nape alipopelekwa huku MASASI hakuwa kada wa chama? mbona unataka uonekane kihivyo? huwezi kuwa DC/RC kama huna kadi ya CCM. ndo maana CDM katika mikakati yao, ni kuziondoa nafasi hizo na kama zitakuwepo wapatikane kwa kuchaguliwa sio kuteuliwa.

wakichaguliwa na wananchi watafanya kazi wakiwajibika kwa wananzengo wenyewe tofauti na sasa wanapowajibika kwa CCM

Sasa umejuaje mimi chizi? Kwa vile uteuzi umefanya kwa Nape kuwa mtumishi wa CCM basi ni sawa?Je unajua kuwa bado Nape ni DC wa Masasi technically? Mimi nazungumzia kikatiba si kiutendaji kama wewe....sawasawa?.....halafu matusi si mtaji....NIMEKURIPOTI TAYARI KWA MODS
 
Hata yule mtabiri alitabiri kufa kwa kiongozi mkubwa then akafa yeye mwenyewe, na ndo ya mkuu wa wilaya ya chamachamafisadi huko igunga.
 
huyo mama kama mchawi vile simuelewi elewi wange mubaka kabisa maana anajitia kimbele mbele sana
 
Back
Top Bottom