DC wa Igunga atabiri ushindi kwa CCM -- hii imekaaje?

Mwigulu Nchemba asijewadanganya macho maana umati huu umekusanyika kumshangaa alnavyoharibu wake za watu,

Duuuuu huyu sikafumaniwa juzijuzi 2 ?

Shehe Yahaya alitabili Kuwa atakaye gombea dhidi Ya JK atakufa. Mungu si Athumani amedanja yeye. Huyo mama yanaweza kumkuta ya Hawa Ngurume, alipiga makofi wanume mbele ya Kadamnasi. Yuko wapi leo?

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Usitudanganye tutajie DC mwenye kadi ya chama kingine mbali ya kuwa CCM? Nakuonea huruma masaburi

wewe umewahi kutishiwa kubakwa? Basi mwanamke mwenzako alitaka kubakwa na hao unao waona wana maana, we ngoja uende ofisi ya CDM ndio utapata adabu yako

Anaetishia kubaka si mbakaji, halafu kauli hiyo anaitoa baada ya kuzungumza kwenye luninga bila hilo la kubakwa nani atamwelewa labda wewe na magamba wenzio. Mkabakane wenyewe wakaanga sumu nyie

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.
Wewe mjukuu wa Kingunge!!! acha kuongea kwa kutumia makalio. Wanaruhusiwa kuwa wanachama wa magamba tuu!! nipe jina la DC wa CUF au CDM au TLP au NCCR tanzania bara.

Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye anajificha nyuma la pazia la serikali? Inafaa CDM wawasilishe malalamiko yao kwa NEC mara moja.

Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.

Haya Nape aseme kwa upuuzi huu....yani mtendaji wa serikali anatoa mawazo yake hadharani....huu si upuuzi jamani,akipigwa manasema anaonewa....Hivi kwanini asitafutwe apewe kichapo cha ukweli kabisa...?

Leo gazeti la Majira limemnukuu Mkuu wa Wilaya ya Igunga Fatuma Kimario akitabiri kwamba CCM itashinda tu Igunga. Kauli hii imekaa vipi kutolewa na kada mkuu wa CCM katika Wilaya hiyo ambaye anajificha nyuma la pazia la serikali? Inafaa CDM wawasilishe malalamiko yao kwa NEC mara moja.

Isitoshe huu utakuwa ni ushahidi mkubwa katika kesi ya CDM ya kupinga matokeo iwapo mgombea wa CCM atashinda.

Unataka tujadili nini wakati yeye alichofanya ni kutabiri. Kwani kila kinachotabiriwa ni lazima kitokee? Au umemkumbuka Al-Maruhumu Sheikh Yahya?

Hii ni nchi ya vyama vingi ndugu yangu. Sasa kama sera zenyewe za Chadema ni kupiga ma DC usitarajie hao hao unaowapiga wakushabikie.

Ilikuwa ni vizuri sana huyu kuchapwa ili akome. Sitegemei kama atarudia tena, anajutia sana kimoyoni mwake. Na bado watamfundisha zaidi akiendeleza mchezo wake mchafu.

We will WIN say it again bold and clear..

Atakaye na asikie asiye taka aelekee jiwe..period..hatuwezi kuwapa jimbo wahuni

Kitu lazima kiwepo ili ku-trigger ukombozi. Nafikiri CCM watakuwa wanachezea moto iwapo wataamua kucheza rafu zaidi ya hii kuwapandisha wabunge wa CHADEMA mahakamani. BTW hatujasikia kutoka polisi kama walikuwa na kibali kutoka kwa Spika cha kuwakamata hawa wabunge. Mbunge wa CCM anayetuhumiwa kuua yeye alisubiri mpaka barua itoke kwa spika just kwenda kuhojiwa. Lakini kwa wabunge wa CHADEMA katiba inatumika ya Venezuela kuwafikisha polisi........kweli tutafika salama?

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Kama utakuja kupata mtoto ambae IQ yake ni more than 1% juu ya uliyo nayo basi atakukana kuwa wewe si babae. Sioni mtu mwenye akili ya kawaida atakaekuelewa kwa upumbavu unaotuletea hapa

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Kisepe kya nyoko.

We will WIN say it again bold and clear..

Atakaye na asikie asiye taka aelekee jiwe..period..hatuwezi kuwapa jimbo wahuni

Wavivu nyie mnao lubuniwa kwa pilau,kazi kukaa vibarazani na kupiga soga waarabu waliwaharibu nyie wapenda dezo.

HILI LIPO TANZANIA PEKE YAKE: USHAMIRI WA DHANA MPYA YA 'BORA UTAWALA' SERIKALINI

Fatuma Kimario hana kura Igunga hivyo chochote anachokisema kishabiki kwa chama shindani kimojawapo ni kinyume kabisa na matarajio ya walipkodi kwa mtu yeyote anayeshikilia nafasi kama hiyo.

Hakika huu ni mfano bora wa BORA UTAWALA badala ya UTAWALA BORA nchini mwetu. Unaweza ukawa na cheo cha kiserikali kama vile U-DC na vile vile ukaendeleza U-Kada wa CCM mitaani na usitarajie kupigwa mtama na chama pinzni.

DC wa Igunga anayo haki ya kikatiba ya kushabikia na hata kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa. Tatizo letu magwanda wengi wenu ni wavivu wa kusoma kwahiyo hata katiba yenu hamuielewi.

Wavivu nyie mnao lubuniwa kwa pilau,kazi kukaa vibarazani na kupiga soga waarabu waliwaharibu nyie wapenda dezo.

Usikasirike sana ukatoa mapofu..tatizo ni chama lako na uhuni wao..wataadhibiwa na wapiga kura..
sema yote yaliyoko moyoni kuhusu waarabu ...utafanyeje mkuu

Nashangaa hadi sasa akina Kiravu hawajatoa tamko kumkemea huyo Mama. NEC yote ni wakala wa CCM na ndiyo watu wanaoletaga machafuiko katika nchi mbali mbali kama vile I. Coast, Sierra Leone, Liberia, Kenya na kwingineko. Siku ya siku ikifika hawa watu ni wa kutia risasi kule Coco Beach alfajiri mapema, a la Jerry Rawlings in 1979!.

Back
Top Bottom